Al Zagawi
Kutumia neno LAZIMA mimi si dikteta kwa maoni yangu hilo neno lazima linakuwa na uzito lakini kwa utashi wa mwingine halina maana yeyote kwake ndiyo maana pale mwisho nikasema kama wewe hudhani atatoka kati ya hawa ni yupi unayemdhani.
Kuhusu kubadilisha uongozi kwa zamu leo upande huu kesho upande ule kwa nyanja zote za bara/visiwani na mkristo/mwislamu navyoona mimi safari hii itakuwa ngumu sana kwa CCM, nitakupa sababu safari hii kupata mgombea kutoka zanzibar atakayeweza kupambana na mgombea wa upinzani ambaye definitely atakuwa Slaa itakuwa kazi sana na kama ni zamu ya dini kumbuka zamu inayokwisha ni mwislamu kwa hiyo safari inayokuja anatakiwa awe mkristo na kama wasipofuata hivyo wale wa upande mwingine sidhani kama wataridhika, nimejibu haya tu kwa vile umegusia ingawa sitaki mjadala wangu ujikite kwenye masuala hayo.
Acha fix, mbona mwenyewe alisema atakwenda Mahakamani sasa ameshindwaje? au zilikuwa njama za CCM kum keep Busy Rais wetu? Wanaoibiwa huenda Mahakamani na si kutegemea wasemaji wa kubwabwaja kwenye forums kama ufanyavyo.Kamuulize aliyeibiwa mke kama huyu mzee anaaminika.
kaka acha ktngz udini2015 msikiti hauna nafasi katika nchi yetu. Mpambano utakuwa kati ya EL na DR SLAA
Kwakweli kazi ipo 2015,,,tuombe Mungu amani yetu isipotee,,,atakayeshindwa akubaliane na matokeoNimeandika sababu zangu kwa kifupi sana lakini nafikiri zinabeba maana kubwa believe me.
.................Vote for Dr. W. Slaa .........................OR ...........Vote for Hon. H Mwinyi ........ OR.......... Vote For Hon E. Lowassa
............................................
..............Chadema Candidate................................................... CCM Candidate............................... Independent Candidate
......Serikali ya Utawala wa Sheria na Haki...................... Serikali ya Umoja na Mshikamano................... Serikali ya Uwajibikaji
Una maoni gani kati ya haya majina matatu ni yupi unayempa asilimia kubwa na kwa sababu gani kama kwa haya majina matatu hakuna unayehisi ni mgombea anayefaa ni yupi unayeona atafaa na kwa sababu zipi, natanguliza shukurani.
Kati ya viongoz wachapakaz Lowasa ni jembe zaid ya Pinda,ila tatizo 2 ana2mega pakubwa(ufisad) , kwa rais ajaye 2nahitaj kiongoz shupavu,jasir na asiye na udin kam Jk huyu c mwingine bali Dk.W.Slaa jembe la ukweli!
you are missing the point mkuu..
1. hoja si kubadilishana kwa zamu kwamba sasa bara na kesho visiwani..kama ni kubadilishana ingekuwa mwaka 2005. hoja ni kuwa CCM iko vipande vipande, nani anaweza kuiunganisha, hata kama si kwa 100% basi walau ambaye akipewa hatakuwa wa kutoka upande wa wapiganaji akina 6 wala walaji akina mamvi..yaani awe atu asiye huku wala kule. nani zaidi ya Shein?
2. ni mazingira hayo ndiyo yamenifanya nifikirie hivyo..right place in the right time.
3. kuhusu dini..sidhani kama katika top level ya ulaji dini inazingatiwa sana..huku chini kwa walalahoi ndiyo tunafiiria sana kuhusu dini...kwani mapacha watatu si ni wadini tatu tofauti? mbona wako pamoja sana kwa miaka mpaka mmoja alipokosea hesabu katika richmond lakini bado kila akiulizwa anasema yeye na swahiba wake hawakukutana barabarani i.e bado wako pamoja?
LOWASSA ndiyo lazima awe raisi 2015