Wapendwa wana JF Wenzangu,nawashukuru na nimekuwa nafaidika sana na ukarimu wa mawazo yenu mnayotoa bila choyo chochote hasa kwasisi ambao kidogo shule hailupata nafasi ya kuwa sehemu ya maisha yetu,mbarikiwe saaaana.
Leo wana JF wenzangu kwa heshima kubwa ninaomba mnielekeze ilinipate kujua ni kwa namna gani nitatimiza kile ninachotaka kukitimiza.
Nia na madhumuni ni kuifanya Tanzania kuwa ile Tanzania tunayoitaka watanzania wenyewe.
Ciao
Leo wana JF wenzangu kwa heshima kubwa ninaomba mnielekeze ilinipate kujua ni kwa namna gani nitatimiza kile ninachotaka kukitimiza.
- Nina msukumu mkubwa wa kuanzisha mojawapo kati ya vitu vifuatavyo kwa kuzingatia wepesi na faida itokanayo na jambo lenyewe.
- Nawaza kufungua Kampuni,NGO au Saccos so please nisaidieni mambo yafuatayo.
- Namna ya kuanzisha na hatimae kuendesha kampuni pamoja na challenges zake
- Namna ya kuanzisha NGO na namna inavyoendeshwa faida pamoja na challenges zake
- Namna ya kuanzisha saccos namna inavoendeshwa pamoja na challenges zake.
Nia na madhumuni ni kuifanya Tanzania kuwa ile Tanzania tunayoitaka watanzania wenyewe.
Ciao