nguruwe* ww unayeamisha watu eti CDM hakuna wasomi sasa subiria 2015 tutaingiza vijana wengine wengi tena wasomi kama wakina Heche, saanane, j mrema etc ndio hapo mtaisoma namba.
Acha ushamba iliyokosea ni dini ya zitto au zitto mwenyewe? asikosee mtu akiambiwa tayari ushakimbila kwenye dini asiambiwe kisa muslim.kwani bajeti aliandaa peke yake? Chuki za udini zimekukaba hata kupumua huwezi! Yaani mnatamani Zitto afe nafasi achukue askofu!
Wakati kampeni za Arumeru zimeshika kasi na watu atwanahangaika kuelimisha umma, Zitto aliona huo ndio wakati muafaka kutangaza nia ya kugombea Uraisi 2015 huku akiwaponda viongozi, wabunge na wanachama wenzake.
Wakati huu ambapo serikali imewasilisha bajeti ambayo kwa ujumla haikubaliki, wakati ambapo ilikuwa fursa adimu kwa CDM, Zitto amewasilisha bajeti yenye makosa ya msingi kabisa, yenye kufedhehesha.
Mimi naona makosa katika bajeti ya upinzani, kauli za Ngeleja bungeni, na hatimaye kipindi cha malumbano ya hoja ITV ni mpango uliopangwa mahususi.
Nawataka Chadema wawe makini na Zitto, wajue kuwa zitto wa mwaka 2000 (enzi za Buzwagi) sio Zitto wa leo.
Pia ni vema kujua kuwa mipango ya kuua upinzani inapangwa kwa umakini na umahiri mkubwa kuliko mipango ya kuwaletea maendeleo waTZ.
Nahisi Zitto anatumiwa sana na CCM.
My dear you are missing a very critical point here. Mind that Zitto was not reading a hard copy handed to him by the typist. He was presenting directly from the original soft copy stored in the iPad. How come you categorize this as typo or printing error?
zitto ni mchagga?
kwani bajeti aliandaa peke yake? Chuki za udini zimekukaba hata kupumua huwezi! Yaani mnatamani Zitto afe nafasi achukue askofu!
Zitto ndiyo anayetakiwa awe makini na watu wanaomhadaa, kwani future yake ni kubwa chadema
Ah! Kumbe wewe ni yule askof kiboga! I'm sorry,sikujua!
IKITOKEA ZITTO AMEONDOKA UJUE CHADEMA NAYO ITAKUFA KINACHOWAKWAZA CHADEMA MPAKA WANA WASILISHA BAJETI MBOVU WENGI WABUNGE WAO HAWANASHULE YAKUTOSHA WEWE EBU FIKIRIA KICHWA CHA MBOWE KWELI KINAWEZA KU DIGEST NINI KWENYE BAJETI? HAYA KUNA SUGU HAMNA SHULE KAZI YAKE KUTINGISHA KICHWA KAMA ANASIKILIZA WALKMAN,HAYA KUNA WATU WANA DEGREE ZA SHERIA ZA UCHAWI TEOLOGY,WACHUNGAJI NA BAJETI WAPI NA WAPI,MZEE ARFI MSKINI ANA CERTIFICATE YA RAILWAY KWELI ANAWEZA KUMPA CHANGAMOTO MWAKYEMBE CHINI YA KATIBU MKUU WAKE eng OMARI CHAMO WA UCHUKUZI? UKU KWA AKINA MAMA NDIYO USISEME HALIMA MDEE MPAKA LEO HANA LA KUIONGELEA BAJETI KWA JINSI ILIVYOSUKWA KITAAALAMU,NAWAAMBIENI ENDELEENI KUPIGA MAKELELE LAKINI CCM INAANZA KUJA JUU KWA KASI YA AJABU
Zitto mbona wetu toka kitambo sana, nyie toeni macho tu mtakuja kushtuka too late.
Mi hua naona Zitto hupenda kutumika kuimaliza CDM na huku kuungwa mkono na ccm na watu wa Dini na watu kuonyesha kama Zitto anaonewa nae anaipenda hali hio, kama hatumiki kwanini kila siku Zitto, nae anakaa kimya.
Zitto mbona wetu toka kitambo sana, nyie toeni macho tu mtakuja kushtuka too late.
Mi hua naona Zitto hupenda kutumika kuimaliza CDM na huku kuungwa mkono na ccm na watu wa Dini na watu kuonyesha kama Zitto anaonewa nae anaipenda hali hio, kama hatumiki kwanini kila siku Zitto, nae anakaa kimya.