Habari yenu wana-jf. Naombeni msaada wandugu. Harddrive yangu haisomi cd/dvd na imekuwa sometime inachagua baadhi ya cd. Naombeni msaada nifanyeje.
Laptop langu ni hp pavilion entertainment pc.
Asanteni na subiri ushauri na msaada wenu.
try to clean the lens first. But kuwa mwangalifu cuz lens cleaner nyingine huwa zinaharibu lens. But kama tatizo likiendelea itakubidi uchange cd rom.
Asante kwa input yako mkuu, lakini hujaniambia natumia nini ku-clean lens. nahisi shida ipo hapo, itakuwa haiwezi kusoma, inajaribu mara kadhaa lakini inagoma mwisho wa siku.

ila zaidi ya yote kaa ukijua hiyo ndo inakufa hivyo..hizo ndo dalili zake siku zote...!! so get prepared to buy a new one mkuu..!!
ASANTE WOTE KWA USHAURI WENU.....HITIMISHO NALOPATA NI KWAMBA MACHINE IMECHOKA INAHITAJI NEW BRAND LAPTOP. BILA SHAKA MTANIPA OPTIONS NZURI ZA SPECIFICATIONS. MY FAVORITE NI KAMA IFUATAVYO
1. HP
2. NATUMIA INTERNET SANA KWA KU DOWNLOAD SOFTWARE, VITABU NK
3. NA DOWNLOAD SANA MOVIE
4. NAPENDA SPEED KUBWA MNO, YAANI ONE CLICK NGOMA INASHUKA, HASA KWA INTERNET NA SPEED YA MACHINE PIA.
5. NATUMIA SANA WEBCAM
6. NATUMIA SOFTWARE MAALUMU KWA KUPIGA SIMU NDANI NA NJE YA NCHI.
7. NATUMIA ADOBE PHOTOSHOP (GRAPHICS SANA)
Kwa maelezo hayo hapo juu naombeni sana ushauri wa machine gani, ukubwa gani, speed nk itanifaa kupiga mzigo. Sitaki kabisa kugusa machine ya ofisi kwa issue personal hata kidogo.
ASANTENI.
hard drive au cd room kama ni cd room imeshakufa hiyo badili tu nyengine
ASANTE WOTE KWA USHAURI WENU.....HITIMISHO NALOPATA NI KWAMBA MACHINE IMECHOKA INAHITAJI NEW BRAND LAPTOP. BILA SHAKA MTANIPA OPTIONS NZURI ZA SPECIFICATIONS. MY FAVORITE NI KAMA IFUATAVYO
1. HP
2. NATUMIA INTERNET SANA KWA KU DOWNLOAD SOFTWARE, VITABU NK
3. NA DOWNLOAD SANA MOVIE
4. NAPENDA SPEED KUBWA MNO, YAANI ONE CLICK NGOMA INASHUKA, HASA KWA INTERNET NA SPEED YA MACHINE PIA.
5. NATUMIA SANA WEBCAM
6. NATUMIA SOFTWARE MAALUMU KWA KUPIGA SIMU NDANI NA NJE YA NCHI.
7. NATUMIA ADOBE PHOTOSHOP (GRAPHICS SANA)
Kwa maelezo hayo hapo juu naombeni sana ushauri wa machine gani, ukubwa gani, speed nk itanifaa kupiga mzigo. Sitaki kabisa kugusa machine ya ofisi kwa issue personal hata kidogo.
ASANTENI.
Kumbe CD/DVD ROM haina kazi kwa mahitaji yako
nahisi kama nakujua vile,,,