My happy ending story

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
photojournalism-wedding-bride-dance-burbank.jpg

DO YOU HAVE ANY HAPPY ENDING STORY. LET US ENJOY IT.

IF YOU DONT HAVE, PLEASE TEL YOUR SAD ENDING STORY.

robert-downey-jr-crying.jpg
 
The Following User Says Thank You to tabutupu For This Useful Post:
Lizzy (Today)

Kwa signature yako!!!!!
 
Sad / happy ending. (true story).

Walipendana na kuwa wachumba wakiwa chuo cha ualimu.

Baada ya chuo msichana akafanikiwa kujiunga na chuo kikuu (UDSM) na kijana akaendelea kupiga chaki kama mwalimu mkoani.

Msichana akaamua kumpiga kibuti jamaa eti kwa sababu hawezi kuwa na mume aliye mzidi elimu.

Jamaa illimwuma sana hasa kwa hiyo dharau akaendelea kuchaa mzigo kama kawaida.

Wote wakapata wachumba wengine. Msichana mchumba msomi kama yeye ma kijana mchumba form four aliye kuwa anajishughlisha na mambo yake ya biashara mjini.

Msichana akaolewa akapata mimba akashindwa kuzzaa akafa.

Kijana akafunga ndoa na yule binti mwingine, na akapa nafasi ya kujiunga na sua university, akamaliza akapata kazi nzuiri sana, na anaendelea na maisha yake ya raha na mkewe kipenzi.

Happy ending.
 
Ni nzuri lakini your own story ingekuwa nzuri zaidi
 
haaaa, happy ending kwa kina kanumba tuu!!! Nafikiri sad ending ndo za kumwaga

no happy endings zipo....mimi yangu iliishia pazuri sana....nilimtupia begi lake nje na akagoo....he he he
 
Nikikumbuka sad ending yangu, machozi hunitoka na niliapa kutopenda tena mpaka pale mama yangu mzazi aliponiuliza usipowapenda wanawake nani atakuwa mama wa watoto wako au na watoto nao umewachukia?
 
oooh so sad,
 
mimi yangu itajaza kurasa ila ndio sababu ya kutokuwa na mwenza mpaka leo,nikimwangalia mwanaume machoni namwona yuleyule aliyenitenda
 
no happy endings zipo....mimi yangu iliishia pazuri sana....nilimtupia begi lake nje na akagoo....he he he

Haya makubwa. Ngoja nimtafute huyo aliye go atwambie sad ending yake. Naamini tutatoa machozi
 
Nikikumbuka sad ending yangu, machozi hunitoka na niliapa kutopenda tena mpaka pale mama yangu mzazi aliponiuliza usipowapenda wanawake nani atakuwa mama wa watoto wako au na watoto nao umewachukia?

Am sorry my brother, lakini Am happy that now you are ok. things happen but tusiruhusu viendelee kutawala.
 
mimi yangu itajaza kurasa ila ndio sababu ya kutokuwa na mwenza mpaka leo,nikimwangalia mwanaume machoni namwona yuleyule aliyenitenda

Pole shost, lakini nakushauri uchukue hatua. usiache hali hii iendelee kukutawala, maana utafika wakati hutakuwa nayo lakini it will be too late. waone washauri watakusaidia how to recover.
 
Yap,It was so sad to an extent that when I saw a girl I felt like changing my route and take another.But thank god I am recovering now.
yaani nashindwa ongeza neno hapo,ila nashukuru angalau uko ok now,swali moja huwa najiuliza kila siku kwani watu wanaumiza wenzao kiasi hiki,je huwa wanajua kuwa wanakuumiza au inatokea tu,nikipata jibu sawia la hili naweza jaribu tena kinyume cheke sorry siwezi kuwa mhanga ena
 
Pole shost, lakini nakushauri uchukue hatua. usiache hali hii iendelee kukutawala, maana utafika wakati hutakuwa nayo lakini it will be too late. waone washauri watakusaidia how to recover.
nashukuru Tabutupuila sidhani kama nnaamini asilimia mia hao washauri kwa kuwa kama binaadam nadhani nitawaeleza sehemu ya tatizo tu,nafikiri wa kujisaidia zaidi ni mimi mwenyewe,sielewi kwa nini kila nikisoma Signature yako nasikia msisimko fulani naomba usiibadilishe tafadhali,huwezi jua unalisha nini baadhi ya mioyo ya watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom