My Free Wills to "Wakati ndiyo sasa"

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,780
To my fellow mdau "Wakati ndiyo sasa"
If Charminglady she does not care why should you?
Don't keep fighting for someone who will not fight for you in return !

Life is too short mtu wangu , but remembar there's someone out there that will be just as interested in you as you are in her !
Amini usiamini iko hivyo!
Take that advice from someone who knows !

I definitely and absolutely agree with me .
If Charmy she doesn't show you any signs at all of even carin about you , just forget about her .
No matter how much it hurts, to even consider driving her out of your memory.

Wewe ni Mwanaume !
Just don't loose hope about a certain gal !
There's someone out there loves you just as much as you love Charmy!

Charmy she's flirting with a guy C6 closely already!
I'm Judgement alltogether with my wife BeibeNasty we have been told those terrifying words.
Pursue everthin in our wills i think you should carry on .
Ni jana tu C6 kamnunulia Charmy zawadi ya Rubi , na C6 kaiacha kwa mama Richardi ambapo Charmy ataifata !
Then wanaonekana kama mapacha hivi !
Na haionekani any symptoms kwamba penzi lao limewa'overSIZE !
 
Yaani uliposema wills, nikajua mirathi! Mie and my evil mind, mmmphheewww!

Ooh!
That , WILLS stand for WOSIA .
Attitude towards another !
Otherwise to declearing one's wishes for disposition of one's property after death !
So far Da'King'asti mi naamini hata mke ni property ya mume!
Na mume ni property ya mke .
 
Hakika mungu ni mwema sana, my darling watu8, naona karibu tunapata mjukuu kwa mwanetu charminglady. May the unborn child growing in you be blessed. Nina furaha sana.

Naona mpenzi wangu tunakaribia kupata ujukuu wa kwanza...weekend ijayo tutazama pale Babyshop tuanze maandalizi kabisa
 
Last edited by a moderator:

Judgement huwa nakueshimu sana,na nadhani hata wewe unalitambua hili,kwa leo umenikosea sana,tena sana kuniambia mwanaume nirudi nyuma.Lakini nakusamehe bure,kwa sababu nimekua sitegemei mchango wowote wa mawazo toka kwako ktk jitihada zangu za kumsaka cl,hii imetokana na itikadi na msimamo wa shemeji yangu(mkeo) Beibe nastry juu yangu kumpenda cl,sitegemei wewe upishane mawazo na BN.ila nikuhakikishie kuwa Mtafutaji hachoki akichoka kapata.Ukiona nimechoka angalia mkoni mwangu kunanin,utamkuta cl.i will never ever giveup
 
The resonable man always adapts himself to the others, either the unresonable one persist in trying to adampt the others to himself !
Do you agree with me , that men don't listen as well as women want them to ?
Even me i'm respect you as i respect others Jf's fellow and mutual members !
Kuhusu hujawahi omba mchango wa mawazo kwangu hata siku moja , also me eversince nimeingia Jf sijawahi omba/hitaji mawazo toka kwako, na sina mategemeo ya kufanya hivyo! At the days coming !
Umedai leo nimekuudhi sana! nilichofanya mie cha kukupa advice kimekuudhi, kwa hilo pekee i beg you apology! Early before am not understand for you advice is harmfull !
Dhamira yangu ilikua kuweka mambo sawa! If an advice from other members kwako ni guilty! Basi kazi !
Mwisho nikutakie kila la kheri in your roadmap on the way to success your goals to Charmy .
Have a good journey.
 
Last edited by a moderator:
Ha,ha,ha,ha.....leo? Sipatipicha Judgement hali gan ulikuanayo wakati una reply my comment,.... Shemeji BN njoo umtulize mzee huku.

Eventhough, i need your support in this.Unaonaje ukaja na mbinu mbadala zitakazo leta mafanikio?
 
My fellow!
Generally i beg you believe frankly in this agenda there's nothin any priority for callin my Wife purposely to comfort me !
Comfort for which importance ?
Which damage or loss being occured for me ?
Whatever the mind can concieve and believe the mind can achieve!
You know the speed of light ?
If yes ,
what the speed of dark ?
I knew i was going to take the wrong Train so i left out very early .
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom