My cousin mary mwingira is no more

Tulikutana Bradford University 1989 - alikuwa mama mahiri sana. Mungu ailaze pema roho yake.
 
ooh God!RIP Mama Mwingira.Ni Mwalimu wangu amenifundisha kwenye kozi ya vijana YLTP FES mwaka 2007.

Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe!!!
 
Pole sana, tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina la bwana libarikiwe
 
Duh tumepoteza mwanaharakati mzuri sana. Alikuwa mchapakazi sana nimefanya nae kazi mwaka - 2003 mpaka 2009 nilipoondoka nchini. Duh R.I.P Mary Mwingira
 
Poleni wapendwa!
Tujipange na hii safari maana wote tumepanga mstari huo huo (death row). Yeye ametangulia tu!
We never know who is next
 
ok ratiba iko hivi,leo sa kumi na moja jioni msiba utapelekwa upanga kwajili ya majirani na marafiki wa pale maana amekaa upanga kama miaka 30,zen maiti itapelekwa kunduchi ,kesho asb kutakuwa na heshima za mwisho kunduchi around sa tano,then safari ya kuelekea St joseph kwajili ya ibada itaanza,kwa watataoweza kuja kanisani ni sa 9,au makaburini ni sa kumi pale kinondoni.Karibuni sana
Oh, very sad! Huyu ni dada yake John Ngahyoma wa BBC. Huyu Mama alizaliwa MARY NGAHYOMA akaolewa na one MWINGIRA. Ni msiba mkubwa, na unatuhusu wengi. Ngoja tupite hapo Upanga kupata taarifa zaidi.
 
Wanandugu ifuatayo ni ratiba ya mazishi ya mama yetu mpendwa Mary Mwingira
 

Attachments

  • ratiba.pdf
    31.7 KB · Views: 109
Dear jamii members

I am very sad to announce the death of my dear cousin Mary Mwingira who has passed away today

RIP
Madi....Im so sorry for the loss................ I have been working with this wonderful mom for almost three years now, she was one of our board members............kwa kweli its a loss. But we have to have faith..to us she was one little beautiful rose in God's Garden and now the owner of the Garden has decided to pick it and we believe HE, the Creator amelichuma na kwenda lipamba sebuleni kwake where every mgeni atakayeingia atauona uzuri na kuisikia harufu yake kama uwa rose au kapamba chumbani kwake ambapo ataendelea kuifurahia harufu nzuri kila aingiapo kulala. We cant blame HIM because the Garden is his, so is the Rose. Let HIS Glory be glorified.

Rest in Peace Mom..............

NB. Thanx for the Ratiba............I will be there to pay my last respect.
 
Back
Top Bottom