My Apology to JamiiForums, by Chris Lukosi

Status
Not open for further replies.
nimekuja speed nafikiri umeomba msamaha kwa kuwa kinara wa siasa za maji taka, hiyo kauli unayoiombea msamaha ni kauli zako za kawaida tu ambazo wala huwa hazitusumbui kichwa
 
Its good to hear a good world's frm a fellow members but let me ask u!
Did you say TANGANYIKA?!
R u planing to break our union?? If that is the case. I think you got a very bad agenda about TANZANIA.and you sound like mpemba!:D And we wont let that happen. I promise!

Mkuu, samahani hicho kiinglishi kimenipita mbali kwa sana, si unazijua Kayumba Skuli?

Lakini ngoja nijaribu kidogo yawezekana Kiswahili hukijui kabisa.
Are you a stranger in Tanzanian politics? Haven't recently ever heard about the release of a draft for the new constitution of Tanzania?
Among a number of proposals in it, there is this one of having a Union government independent of the governments of Zanzibar and Tanganyika which doesn't exist for the time being.
So I believe, mkuu Fitinamwiko was just presenting what is in the mind and mouths of people for now concerning the new constitution.
I hope I tried though not clearly, to explain the issue in a language which is fourth in a sequence of mastering for me.
 
Usijali tumekusamehe JF siyo mali ya Chadema wala CCM ni jukwaa huru.

Usiseme tumekusamehe, sema nimekusamehe, unamsemea na nani,
Binafsi sijaona msamaha alioomba zaidi ya kujisifia kwa umbulula anaofanya.
 
Upuuzi mtupu, oh mimi mhehe, so what? upuuzi juu ya upuuzi. uhehe nini sasa? wakurya wafanye nini? apologize inatosha, usituletee ukabila hapa, kama hiyo ni sifa jitundike basi!
 
Je ni halali kwa Mtu anayeomba msamaha, mwisho kumalizia na neno JITAMBUE? moyo uliovunjika na kupondeka uko wapi?
Sasa mkuu nimeomba msamaha bado unakataa ,
Kweli tutafika? nyie ndio kama wale wa syria, hamtaki suluhu mnataka kuuana tu.
Maisha ni kusameheana, mtu akikubali kosa unamsamehe lkaa sivyo utanyonga wote ubaki peke yako duniani kama shetani tu
 
Pamoja na Mamwindi kushindwa kujizuia na kuamua kumpa za uso Dr Kleruu bado alinyongwa.

Alinyongwa s sababu ya kumtandika Kleruu tu..mana Nyerere alimpa option ya kifungo cha maisha,lakn Hata alipoambiwa aandike barua ya msamaha...Mwamwindi akasema hajutii..na akipata nafasi atolewe gerezani atamshughulikia na yule aliyemleta Kleruu bila kumwambia kuwa Iringa kuna wanaume
 
Hebu nenda mbali zaidi eleza ukweli kuhusu tuhuma dhidi yako ziliko hapa jamvini
 
Rudi tuu kimya kimya chadema mkuu!!ccm ni chama cha zamani na wewe niwa kisasa
 
Mimi Binafsi nakupongeza kwa ujasiri wako wa kuweza kukiri makosa . Nimekusamehe kama member mwenzako wa jf
 
"ni hawa hawa JF walioniruhusu nitumie jukwaa kuwarushia madongo ya uso Dr Slaa na Freeman bila kujali kuwa nao watakuwa na feelings kuwa mimi napendelewa"

Ukawaambie na kina Mtela, shonza n.k kuwa wakiendelea kuwatuna makanda hawa kama mnavyofanya, nasisi tutamtukana sana tu Kikwette potelea mbali na ban zije!!
Kumbe mnafanya kuasudi!!
 
Kujipendekeza.com
Unaposema unawatupia madongo ya ukweli, unaomba msamaha wa nini?
Nilitegemea useme yale yote uliokua ukiyaandika ni uzushi.
Hata Wenje alisema hawezi kuomba msamaha kwasababu Caf ni maliberali.
Jaribu kukua kiakili ndg yangu.
 
Mkuu hapo ni sawa na kumsilimisha papa , sio rahisi hata ndotoni.
Huko kwenu magumashi tu

Au kama ilivo vigumu kwa Paroko wako Jorda kuhamia kwenye msikiti wa Kalenga...by the way;hivi Mzee Vangisada Mwamakendi mna udugu?
 
Usijali tumekusamehe JF siyo mali ya Chadema wala CCM ni jukwaa huru.

umenifurahisha mkuu kwa kutanguliza cdm then ccm. About lukosi nothing 2 display laana ya kusema uongo sasa inamtafuna
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom