Una mbegu uniuzie nahitaji sana hawa mbuzi aisee ,ila matunzo yake yanakuwaje nipo DSMhata mimi ninao saanen unauezo wa kupata lita mbili asubuhi najioni na anazaa mapacha ni pm +255757662401
mkuu wapi naweza pata hao mbuzi wa maziwa jamani nahitaji kwa kweli MKUU Kitomari NIMEM PM WALA HAJIBU SIJUI NATAKA KUPIGIWA?Ni mazuri sana kiafya mkuu,
Maana ni tiba ya vidonda vya tumbo na pia husaidia kurejesha na kuhifadhi kumbukumbu.
mkuu wapi naweza pata hao mbuzi wa maziwa jamani nahitaji kwa kweli MKUU Kitomari NIMEM PM WALA HAJIBU SIJUI NATAKA KUPIGIWA????????????????
Asante sana mkuu ngija nimpigie nimsikilize.hivi utunzaji wake ni tofauti sana na wale wengine???na ni kweli wanatoa maziwa mengi je kwaushauri ninunue jike na dume au nifanyaje?kuna huyu mama anaweza kukusaidia. Yeye huwaleta toka tanga 0654060031. Niliwahi kuwakuta kwake dsm akiwa amewatoa huko. Mjaribu kisha utupe taarifa
Ukiweza kununua jike peke yake lililopandishwa. Dume siyou muhimu sana kwani hata kwa kulipia sehemu kwa mwenye dume ili ampandishe mbuzi wako. Kama unaishi maeneo yaliyobana sana dume linakuwa na harufu sana utagombana na watu bure. Heri upate majike mawili.asante sana mkuu ngija nimpigie nimsikilize.hivi utunzaji wake ni tofauti sana na wale wengine???na ni kweli wanatoa maziwa mengi je kwaushauri ninunue jike na dume au nifanyaje?
Ukiweza kununua jike peke yake lililopandishwa. Dume siyou muhimu sana kwani hata kwa kulipia sehemu kwa mwenye dume ili ampandishe mbuzi wako. Kama unaishi maeneo yaliyobana sana dume linakuwa na harufu sana utagombana na watu bure. Heri upate majike mawili.
Ufugaji wake una tofauti kidogo na wa kienyeji:
1. Banda zuri la gorofa -angalau liwe futi 2 toka ardhini ikiwezekana lidondoshe uchafu
2. Chakula wanachopenda: majani yafungwe juu kwani wanapenda majani ya juu. Wakishakanyaga hawayali tena. Pia pumba wanakula sana. Wa kwangu nawapa kila siku jioni walau kg 1 kwa mbuzi lakini pia ina mchanganyiko wa madini ambayo yanauzwa hapa dar pamoja na mashudu ya pamba, na maji ya kutosha.
3. Matibabu: hakikisha unawapatia chanjo zao kwa wakati. Wakiugua uwatibu
4. Usafi: kuwaogesha walau mara moja kwa wiki wanapenda usafi
Ukweli ni kuwa na mimi ndiyo naanza sina uzoefu mwingi. Niliyosema ndiyo nnayofanya
Ukiweza kununua jike peke yake lililopandishwa. Dume siyou muhimu sana kwani hata kwa kulipia sehemu kwa mwenye dume ili ampandishe mbuzi wako. Kama unaishi maeneo yaliyobana sana dume linakuwa na harufu sana utagombana na watu bure. Heri upate majike mawili.
Ufugaji wake una tofauti kidogo na wa kienyeji:
1. Banda zuri la gorofa -angalau liwe futi 2 toka ardhini ikiwezekana lidondoshe uchafu
2. Chakula wanachopenda: majani yafungwe juu kwani wanapenda majani ya juu. Wakishakanyaga hawayali tena. Pia pumba wanakula sana. Wa kwangu nawapa kila siku jioni walau kg 1 kwa mbuzi lakini pia ina mchanganyiko wa madini ambayo yanauzwa hapa dar pamoja na mashudu ya pamba, na maji ya kutosha
3. Matibabu: hakikisha unawapatia chanjo zao kwa wakati. Wakiugua uwatibu
4. Usafi: kuwaogesha walau mara moja kwa wiki wanapenda usafi
Ukweli ni kuwa na mimi ndiyo naanza sina uzoefu mwingi. Niliyosema ndiyo nnayofanya
nimepata wawili kutoka tanga majike mawili yenye mimba Mkulima wa Kuku asante sana kka mama jk kanisaidia sana ,nitakwenda wachukua this weekendukipata jike moja wa saanen na dume ingelikua vizuri zaidi
Kama kuna wanaopenda kufuga wanyama hasa Mbuzi ( wa maziwa,nyama),njooni tuunganishe nguvu tufanye mambo.Inawezekana kabisa tukafuga kwa mafanikio sana. Kila kitu kipo ndani ya uwezo wetu.
I believe together we can go.
Ndio unaweza kupata,
Mpaka sasa tumeshapata location murua ya kufugia na mipango ya upanuzi wa site unaendelea. Kipato chako kidogi kisikupe shida kwa sababu hata changu ni kidogo pia, cha msingi ni nia yako kama iko thabiti. Karibu sana.
hongera sana kwa mawazo yako ya kuongeza uzalishaji badala ya kuwa mchuuzi au mtumiaji mkuu, bila shaka hii ni product ya SUA
wapiganaji mpo wapi?