Mwizi

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,229
Jamaa alisingiziwa kuwa kaiba,waliomkamata waliamua kumpeleka kwa mganga wa kienyeji,waliamua kama ni yeye wampe kichapo mpaka afe,walipofika walimwambia nganga tutakupa hela kama utasema kweli kwamba huyu ndo mwizi au sio mwizi.
mganga akawasha ubani,akasema mtu atakayezungukwa na moshi wa ubani ndo mwizi.
ubani ulipoanza kutoa moshi ukamzunguka mganga.
tabiri kilichotokea.
 
Teh ila km umewahi kuibiwa ukiona mwizi anatandikwa unaweza kummaliza kabisa aisee,Mi nishawahi ibiwa nkabakiziwa shilingi 100 ya Tanzania na gari limeharibika haliendelei na safari inabidi kulala Arusha, dah ni noma kaka.
 
teh teh teh,kuna hii minada ya arusha,si unajua hawa bibi wa vijijini,alikuwa akichagua mitumba huku ameinama,kumbe ndani
ya sketi yake kashona sanda za kuwekea hela,kwahiyo alivyoinama sketi ikaenda juu kwa nyuma mana ile sanda lina
vichenchi halafu lipo mbele,so mwizi akaona ile sanda linaning'inia,akachukua kisu chake na kuikamata ile sana kwa nyuma
halafu akaikata fasta kwa kisu then akakimbia,ile kichekesho kweli.
 
Hahahahahaaaa bibi wa watu lazma atakuwa alichanganyikiwa ataongea takwenya *hadi asubuhi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom