Mwizi wa kike akirekodiwa anapigwa ni udhalilishaji wa kijinsia, ila wa kiume husikii kelele kutoka kwa NGO's

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Juzi kati kuna clip ilisambaa sana mitandaoni, mimi si mtumiaji sana wa mitandao mingine ukitoa JF na tweeter. Nilibahatika kuperuzi Facebook kupitia simu ya mke wangu, nikakuta clip ya jamaa(tapeli) akipigwa mno.

Waliokuwa wanampiga ni mke na wanaume baadhi, nafikiri walim track na kumuita aende. Jamaa anaweka mikono usoni ila mwanamke anamtukana matusi ya nguoni(kiungo cha kutolea mtoto), huku wengine wanampiga mikanda.

Nilishawahi kuona clip moja kama hii, ila ilikuwa ya mwizi wa kike(si tapeli), hakupigwa ila alirekodiwa tu akihojiwa kwa nini aliiba. Duuh! Week moja mbele vyombo vya sheria na NGO's zilipiga mno kelele kuwa yule Ustaadh aliyemkamata na kurekodi, afungwe.

Nilijifunza kitu kikubwa mno, hatupo sehemu salama. Kila siku mwanaume anazidi kukandamizwa sana, na sadly baadhi ya wanaume wanaungana na akina mama kuwakandamiza wenzao, na wanafurahia hili.

Huzuni mno!!
 
Wanaume tumeumbiwa mateso

USSR
 
je umesahau hivi siku ile uhuru waliposema chifu hatagombea chifu alijitokeza alisema hii zamu ya wanawake japo alisema hii ni kwa kudra ya mungu ila kuanzia 2026 ndo ule mkutano wa beijing madhimio yake ndo yanaenda kutekelezwa kisawa sawa yani ke 80 me 20 sio 50/50
 
Rais ke
Spika ke
Waziri wa ulinzi ke
Waziri wa nje ke
Tamisemi ke
Wizara ya wanawake

Tutakoma mwaka huu
 
MWANAMKE AKIPIGWA NA MWANAMKE MWENZIE-WATETEZI WA HAKI ZA MWANAMKE WAKO KIMYA
MWANAMKE AKIPIGWA NA MWANAUME-WATETEZI WA HAKI ZA MWANAMKE WANATOA MATAMKO NA KELELE ZINGINE
MWANAMKE AKIPIGA PICHA ZA UCHI NA KUSAMBAZA-WATETEZI WA HAKI ZA MWANAMKE WAKO KIMYA
MWANAUME AKISAMBAZA PICHA ZA UCHI ZA MWANAMKE WAKE-WATETEZI WA HAKI ZA MWANAMKE WANATOA MATAMKO NA KELELE ZINGINE
 
Wanaume wanalilia tumboni ndo maana wanawahi kufa mapema kuliko wanawake.
Mwanamke akishapata watoto na mali mwanaume ni takataka tu asipoanza chokochoko,atakuwekea sumu ufe polepole.
 
Ndiko Tulikofikia bas acha nilewe
JamiiForums1063254837.jpg
 
Juzi kati kuna clip ilisambaa sana mitandaoni, mimi si mtumiaji sana wa mitandao mingine ukitoa JF na tweeter. Nilibahatika kuperuzi Facebook kupitia simu ya mke wangu, nikakuta clip ya jamaa(tapeli) akipigwa mno.

Waliokuwa wanampiga ni mke na wanaume baadhi, nafikiri walim track na kumuita aende. Jamaa anaweka mikono usoni ila mwanamke anamtukana matusi ya nguoni(kiungo cha kutolea mtoto), huku wengine wanampiga mikanda.

Nilishawahi kuona clip moja kama hii, ila ilikuwa ya mwizi wa kike(si tapeli), hakupigwa ila alirekodiwa tu akihojiwa kwa nini aliiba. Duuh! Week moja mbele vyombo vya sheria na NGO's zilipiga mno kelele kuwa yule Ustaadh aliyemkamata na kurekodi, afungwe.

Nilijifunza kitu kikubwa mno, hatupo sehemu salama. Kila siku mwanaume anazidi kukandamizwa sana, na sadly baadhi ya wanaume wanaungana na akina mama kuwakandamiza wenzao, na wanafurahia hili.

Huzuni mno!!
Mbona wanaume huku kilimanjaro tunapigwa tu ngumi na wake zetu
 
je umesahau hivi siku ile uhuru waliposema chifu hatagombea chifu alijitokeza alisema hii zamu ya wanawake japo alisema hii ni kwa kudra ya mungu ila kuanzia 2026 ndo ule mkutano wa beijing madhimio yake ndo yanaenda kutekelezwa kisawa sawa yani ke 80 me 20 sio 50/50
I don't think
 
Back
Top Bottom