Mwita Waitara apiga marufuku upeperushaji bendera za CHADEMA Ukonga

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Katika hali isiyo ya kawaida aliyekuwa mbunge wa Ukonga na kukimbilia CCM Mwita Waitara amepiga marufuku shughuli zozote za kisiasa za Chadema ikiwemo upeperushaji bendera zake katika eneo la Mwembeni Kivule Ukonga

Waitara amefanya hivyo katika kile anachodai ni eneo la mtaa ambako anaishi hivyo bendera za Chadema ni uchafu kwake.

Katika kutimiza hilo usiku wa kuamkia leo bendera zote za Chadema ziliondolewa katika mtaa huo.Ilipofika asubuhi vijana wa Chadema hawakufurahishwa na hali hiyo na kuamua kusimika bendera ya Chadema katika eneo wanapopaki bodaboda katika mtaa huo wa Mwembeni.

Mara tu baada ya kusimika bendera polisi walivamia mtaa huo na kuanza kutembeza kipigo kwa vijana wa Bodaboda na kumkamata kijana aliyeongoza zoezi la usimikaji wa bendera baada ya kumpa kipigo kikali karibu ya kuzimia.Kijana huyo anayeendesha bodaboda anafahamika kwa jina la *CHINGA* na alizolewa na bodaboda yake na kupelekwa kituo cha polisi Sitakishari Ukonga.Kijana huyo kwa jinsi alivyopigwa alibebwa kuingizwa kwenye gari kwa sababu alishindwa kupanda mwenyewe.

Wananchi kadhaa bila kujali itikadi za vyama wamekasirishwa na hali hiyo na kusema ni uonevu mkubwa huku wakilaani polisi kutumika kama vikaragosi kukandamiza upinzani
 
Aache ujinga
 
Kama ni Kweli basi huo ni upuuzi wa Hali ya Juu na ubinafsi niseme ni unyama
 
Huyu mtu ni mzima kichwani kweli? Who is he? Anajiona Mungu mtu siyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom