Kidogo kitu kimekubali Jumamosi halafu ile anatakakutoa tu, kadi imezama... ngoma mpaka J3 du! ukute ATM yenyewe ni benki ya makabwela... kutakuwa hapatoshi..
Huyu lazima atakuwa either bonge moja la chapombe au mdeni sugu a.k.a loan officer na ukute anadaiwa hadi na mangi ingawaje mangi hakopeshi.kuepuka usumbufu ngoja atie pozi hapo hata wanayemdai wakija na wanajeshi achilia mbali polisi nguvu lazima zikuishie.anyway bonge moja la ubunifu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.