Mwingira atangaza mwisho wa CCM 2015

Huyu aliichangia CCM milioni 10 kwenye ile fundrising yao 2010!.

Huyu kwa upande mmoja ni mtume na nabii wa ukweli kabisa kwa uwezo wa kutoa mapepo kwa jina la Bwana na mahubiri yenye mashiko!.

Ila pia kwa upande mwingine nae ni binadamu tuu kama sisi binadamu wengine na anaweza kuanguka kwenye dhambi, akatubu na kusimama tena kama kile kisa cha kumbariki yule mke wa advocate, baraka zikakolea mpaka mke akamshauri mmewe wamkatie pande la kiwanja chao pale Mbezi Beach, na mume akakubali, kama shukrani za mibaraka kwa mkewe, kiwanja akamegewa na kuporomosha mjengo wa bilioni 2!. Baada ya mjengo kukamilika, siri ya baraka za mke zilikuwa zikifanyika vipi ikavuja, mke akakiri na kutubu, mtume na nabii akakiri na kutubu kwa mkewe na Mungu, wote wakasameheana, ila mwenye kiwanja sasa ameghairi kuendelea kummegea kiwanja chake mtume na nabii ili hali kina mjengo wa bilioni 2!, mume amemtaka nabii kuuondoa mjengo wake, sasa kesi ipo mahakamani!.
ni katika kujikumbusha tuu.
P
 
Back
Top Bottom