Mwingira atangaza mwisho wa CCM 2015

Kiguu na njia

Member
Dec 25, 2010
95
21
Kipindi Live TRENET: Mtume na Nabii Josephat Mwingira katika mahubiri yake ameeleza kuwa yeye kama mtumishi wa Mungu anatangaza kuwa walioko madarakani mafisadi na wapiga mabomu mwisho wao ni 2015 kama alivyoitabiria KANU ya Kenya...!! ametoa mifano kadhaa ya Biblia kuhusu Shedrack, Meshack na Abednego waliotupiwa kwenye moto lakini hawakuungua. ameeleza kwa ujasiri sana kuwa watawala wa Tanzania wataharibikiwa mambo yao kutokana na maovu wanayowafanyia waTz..!

my take:
naona hz ni hasira za kupigwa mabomu pale kanisani kwake...!
 
wakati akitamka hayo audience ilikuwaje?
 
LAkini katika hilo uongo uko wapi?
CCM wameanza zamani tu kujiandaa kuwa chama cha upinzani.

Mtu ambaye si clean akijiingiza kwenye matamko kama hayo anataka kuumbuliwa.

Akizungumza kama Bw. Mwingira anayetoa maoni yake sioni shida. Lakini anapotaka tusadiki kuwa anatoa unabii, hapo tutauchunguza kwanza U-Nabii wake.
 
Kiguu na njia Katika maelezo yako hajataja CCM, hata hivyo sio viongozi wote wa CCM walioko madaraki kuanzia taifa hadi shina waliodhibitika kuwa mafisadi. Vinginevyo utakuwa unapotosha umma.

Mimi naamini chama kitakacho chukua madaraka 2015 hakijajulikana. Ukizingatia masuala ya siasa yanabadiliaka mara kwa mara sana, ingawa kuna dalili ya baadhi ya vyama vya siasa vinaonyesha mwelekeo wa kutojiamini katika uchaguzi huo.
 
Last edited by a moderator:
nina mashaka na maoni yake,huyu jamaa si inasemekana yupo jirani sana na utawala huu. inamaana wamekosana.!
 
Kasema kweli kwan serikali zote dhalimu dunian hufika mwisho na kuanguka kila msomi analijua hilo
 
Siamini Utabiri wa Mwingile katika mambo mengi lakini kwa hili amesema facts. Huitaji kuwa nabii kujua mwisho wa CCM ni 2015
 
Huyu aliichangia CCM milioni 10 kwenye ile fundrising yao 2010!.

Huyu kwa upande mmoja ni mtume na nabii wa ukweli kabisa kwa uwezo wa kutoa mapepo kwa jina la Bwana na mahubiri yenye mashiko!.

Ila pia kwa upande mwingine nae ni binadamu tuu kama sisi binadamu wengine na anaweza kuanguka kwenye dhambi, akatubu na kusimama tena kama kile kisa cha kumbariki yule mke wa advocate, baraka zikakolea mpaka mke akamshauri mmewe wamkatie pande la kiwanja chao pale Mbezi Beach, na mume akakubali, kama shukrani za mibaraka kwa mkewe, kiwanja akamegewa na kuporomosha mjengo wa bilioni 2!. Baada ya mjengo kukamilika, siri ya baraka za mke zilikuwa zikifanyika vipi ikavuja, mke akakiri na kutubu, mtume na nabii akakiri na kutubu kwa mkewe na Mungu, wote wakasameheana, ila mwenye kiwanja sasa ameghairi kuendelea kummegea kiwanja chake mtume na nabii ili hali kina mjengo wa bilioni 2!, mume amemtaka nabii kuuondoa mjengo wake, sasa kesi ipo mahakamani!.
 
Kipindi Live TRENET: Mtume na Nabii Josephat Mwingira katika mahubiri yake ameeleza kuwa yeye kama mtumishi wa Mungu anatangaza kuwa walioko madarakani mafisadi na wapiga mabomu mwisho wao ni 2015 kama alivyoitabiria KANU ya Kenya...!! ametoa mifano kadhaa ya Biblia kuhusu Shedrack, Meshack na Abednego waliotupiwa kwenye moto lakini hawakuungua. ameeleza kwa ujasiri sana kuwa watawala wa Tanzania wataharibikiwa mambo yao kutokana na maovu wanayowafanyia waTz..!

my take:
naona hz ni hasira za kupigwa mabomu pale kanisani kwake...!

I thought was Mary Mwingira - Mtoto wa Augustine Mwingira ambaye yuko Ubalozini New York
 
Moral authority inahitajika sana kwa kiongozi wa dini.

Huyu ameshapoteza hiyo moral authority.
 
Huyu jamaa, huyu mwingira huyu, bado mnamwamini na kashfa yake ile na mke wa wakili mmoja maarufu Dar? Labda kama ni Mwingira mwingine.
Kipindi Live TRENET: Mtume na Nabii Josephat Mwingira katika mahubiri yake ameeleza kuwa yeye kama mtumishi wa Mungu anatangaza kuwa walioko madarakani mafisadi na wapiga mabomu mwisho wao ni 2015 kama alivyoitabiria KANU ya Kenya...!! ametoa mifano kadhaa ya Biblia kuhusu Shedrack, Meshack na Abednego waliotupiwa kwenye moto lakini hawakuungua. ameeleza kwa ujasiri sana kuwa watawala wa Tanzania wataharibikiwa mambo yao kutokana na maovu wanayowafanyia waTz..!

my take:
naona hz ni hasira za kupigwa mabomu pale kanisani kwake...!
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom