Mwingine tena akamatwa na madawa mchana huu kaweka kwenye Johnson Powder

Dah!!nchi ya wauza unga ndio maana magamba yanatoka mapovu yanataka kuchakachua hata katiba mpya...
 
unajua huwezi kujua nani adui au rafiki kwani ukimuona muuza hayo madawa wewe mwache tu aende unaweza kujikuta unakufa vibaya kwa kutoa ushahidi acha kwanza wenyewe siku wakizinguana kwenye mauzo ndio kitakachotusaidia kuwapata .lkn hivi hivi kama alivyosema pinda ukiwataja nchi itayumba jamani.hao ndio wanaotunza watoto yatima kwa kupeleka ,unga yaani sembe,maharage sindilia,chupi huko, huku tukiwasifia kuwa wana roho nzuri,wewe jiulize kwanini hupati hela ya kununulia gari ,unafikiri kwa kazi tu halali utaweza kupata hela hiyo ya kugawa ,kama huyo jamaa aliyekuwa anagawa hela kitaa ,unafikiri kupata hela ya kugawa ni kwa kazi kama ya ulinzi au ualimu ,au ukasitama kea?
ukimuuliza kwanini wewe unahela nyingi mtu atakwambia mambo mengi kuwa ni mjasilia mali, ila ukweli wa mali zake hawezi kukuambia hata siku moja.haya mambo bana sijui nini cha kufanya watu wanatafuta kwa tofauti sana.watu walilipa hela kuingia viwanjani watu wakaingia bure milioni mia moja sasa unafikri kwa biashara ya kawaida wewe unaweza kuitoa hela hiyo.hao ndio wanaoichangia timu ya taifa,nakuwatunza mamisi na pale pale kwa nje biashara hiyo inafanyika sana tu ,unafikiri ni nani atadhamini mashindano yale aangalie ------ ya watoto wa jirani zake bure,kuna kuwa, na biashara haramu pia inakuwa inaendelea ,solution itakayofanyika nikupunguza wanaofanya biashara tu isiwe wazi lkn kuimaliza ni kazi sana,duniani kote madawa haya wanauza ,tena sehemu zenye ulinzi kabisa,sasa huko kamera hizo zinazo nasa wapenzi wakiwa guest wakifanya mapenzi nakuwaweka mitandaoni na kujifanya kuwa hayo ni mambo ya ajabu wakati nyie wenyewe mnayafanya ,tz wanafiki,wafitini,watu wa chuki,wazembe walioshindwa kufikiria ndio waliojaa,ndio maana ukifika kwenye kusema sasa tuamue nini tufanye watu wanagawanyika either ki-vyama,kikabila,ki-kanda-kidini,ki-rafiki-kiumri.hatuwezi kufika mbali kama tutaacha kutumia akili tulizopewa na kuamini kuwa ipo siku mungu ndio ataamua.wabongo wengi wanatumia masabuli kufikiria kama wengi pia wanavyosema.
 
Mburula! Hata kisu kina matumizi mabaya na mazuri huwezi piga marufuku matumizi ya kisu kisa mtu kakitumia kumchoma nacho mtu mwingine, unatoa majibu rahisi kwenye maswali magumu.Suala hapa serikali yako ihakikishe kunakuwepo na ukaguzi wa kutosha kama ulivyo kwenye viwanja vingine duniani huwezi kugemea mavazi ya mtu ndiyo yakusaidie kutambua nani kabeba unga.

my apology brother nilikuwa namaanisha ni suicide bombers top gear.
 
Wewe Mbwa wa manzese, huwezi kupiga marufuku vazi la watu kwani kinachotokea ni washenzi wachache kama hao wanaolitukanisha vazi hilo kwa kujifanya wacha Mungu kumbe ni mbwa tu. Na huyo mwanamke siyo muislamu hebu angalia jina lake tu, "Anthonia", waislamu hawana jina hilo. Huyu katumia vazi hili kuuchafua uislamu na vazi lenyewe. Nadhani mbwa wa manzese na wana jf kwa jumla mmenipata

uislam ni uchafu utachuliwaje tena, nani alikuambia kuna majina ya kiislamu, we utakuwa mwanafunzi mtiifu wa kile kizee cha JF MOHAMED SAID.
 
... Ndio maana Islamic people hukaguliwa sana baadhi ya Airports kuliko Christians...jiulize.
Minguo yao hiyo...afu usiombe atoke jasho na mnguo huo...utatamani utapike.
Wengine hata hawazifui.
teh!!! hapa sitii neno tena. watakuja wao kunena.:help:
 
Back
Top Bottom