Mwingine tena akamatwa na madawa mchana huu kaweka kwenye Johnson Powder

Sio wote waniitao Bwana Bwana watauona ufalme wa Mungu!! Na zaidi, hatutaingia mbinguni kwa mavazi yetu, sura zetu, rangi zetu, wala matendo yetu ila ni kwa neema tu!! Mtu kama huyu angefanikiwa kuuza huo unga siku moja angeweza hata kutoa msaada kwa watoto yatima then watu wangesema anatenda jambo jema hivyo anafaa kuigwa!!

wapo wengi sana mdau wanafanya hiyo charity ya orphans na wapo wanaofuturisha during ramadhan,yupo mmoja kwa miaka mingi sana alikua akilipia bili ya umeme kwenye nyumba moja ya ibada hapa mjini,yeye amejikita zaid S.A ndo anakopigia deal
 
naona ni vyema wafanye marekebisho ya sheria ya adhabu ya wahusika madawa ya kulevya, na ikiwezekana wanyongwe km ilivyo china. Wengi wataPata fundisho.
 
Sio wote waniitao Bwana Bwana watauona ufalme wa Mungu!! Na zaidi, hatutaingia mbinguni kwa mavazi yetu, sura zetu, rangi zetu, wala matendo yetu ila ni kwa neema tu!! Mtu kama huyu angefanikiwa kuuza huo unga siku moja angeweza hata kutoa msaada kwa watoto yatima then watu wangesema anatenda jambo jema hivyo anafaa kuigwa!!

utaendaje peponi kwa neema tu.bila matendo nakutii amri za MUNGU
 
Tumekwisha, sasa kazi ni moja tu, hakuna haja ya kuangalia sura, cheo, rangi, kabila wala mavazi ya mtu. Hii inanikumbusha utafiti uliofanywa na wanazuoni "Behind the Vail"

Na jk angekubali kuwaweka hadharani wale viongozi wa dini wanaouza sembe nao ungesema je?
 
Kesho kutwa utasikia mwingine kakamatwa
maana ni kama sikio la kufa vile.
inaoneka hapa Tz kuna shehena kubwa
sana ya dawa. Maana watu huja kuchukua.

Si kuna wadau wanasema kunayo mashine ipo hata tz!
 
nilipochoka zaidi ana passport ya mwaka 1988 kuzaliwa
na jinsi alivyo inaonekana amepga sana hii bussiness mpaka ikamchosha kama mzee wa miaka kadhaa

lo powder dare for more kweli

1988!? Na ana miaka 25? Basi alianza akiwa tumboni mwa mama yake
 
nilipochoka zaidi ana passport ya mwaka 1988 kuzaliwa
na jinsi alivyo inaonekana amepga sana hii bussiness mpaka ikamchosha kama mzee wa miaka kadhaa

lo powder dare for more kweli
Mkuu kuhusu miaka yake ni utata mtupu!
 
ngumu sana kuamini habari hii, inawezekanaje mtu akamatwe apelekwepolisi bila kuonyesha dalili ya wasiwasi! hatakama amekubuhu kiasi ganini ngumu sana, hata lipsy kukauka hakuna!
 
mavazi haya yapigwe marufuku, ni worldwide drug traffickers top gear
Wewe Mbwa wa manzese, huwezi kupiga marufuku vazi la watu kwani kinachotokea ni washenzi wachache kama hao wanaolitukanisha vazi hilo kwa kujifanya wacha Mungu kumbe ni mbwa tu. Na huyo mwanamke siyo muislamu hebu angalia jina lake tu, "Anthonia", waislamu hawana jina hilo. Huyu katumia vazi hili kuuchafua uislamu na vazi lenyewe. Nadhani mbwa wa manzese na wana jf kwa jumla mmenipata
 
Back
Top Bottom