Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 57,539
- 96,416
Huyu alikuwa na hamu na jela, hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kusafirisha unga kwa kutumia passport ya Nigeria!?
Hata mimi najiuliza Ablessed wateja ni kina nani? Maana inaonekana biashara inalipa hasa sio bure.
mavazi haya yapigwe marufuku, ni worldwide drug traffickers top gear
Wengi hutumia majina bandia na passport bandia wanapokuwa ktk ishu kama hizo, ndo maana hapo unaona zee zima na wajukuu lkn linasema lina miaka 25. Ni rahisi kuwashtukia, ila basi tu JNIA waliteka
Awataje waliomuuzia kama alinunulia hapo dar.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
hapo sunna umenena, awataje!! Awataje!!
Labda boko haramu huyo.
Dah jamani utasema mtu wa mungu haswaaaa
Na huyu hafanani na drug dealers, mtazame hizo yebo za mtaa wa kongo alizovaa!!!!!, dramaturgical.........Kama kova yupo kwenye hii movie jua ni kitu ya kupika, mtazame mama machoni unajua kabisa anaigiza there is no sense of guilty.
Na huyu hafanani na drug dealers, mtazame hizo yebo za mtaa wa kongo alizovaa!!!!!, dramaturgical.........
mavazi haya yapigwe marufuku, ni worldwide drug traffickers top gear
Mkuu akili ni nywele kila mtu ana zake!hali ikiwa mbaya kila mtu huwa anatafuta namna ya kutoka!Hata kama maisha yamebanana hivi ni lazima ubebe hayo mapowder?