Mwingine adakwa kwa kumkashifu Rais Magufuli kwenye mtandao wa "WhatsApp"

Tutarajie kuona Makada wa CHADEMA wakichanga fedha kumlipia faini
Hakuna mtetezi zaidi ya mungu manake binadam wachache wameamua kujigeuza kibabe kama mafarao na enzi za kina herode Eeeh MolAah..tuokoe sie wanyonge tunaangamia kwa kunyanyaswa na miungu watu wachache
 
Kama mantiki unazungumzia somo la Logic basi sio tatizo. Ili kupata shahada ya kwanza ya fani yangu ni lazima usome Foundation of Mathematical Analysis ambayo kuna logic ya maana. Pia lazima usome tena Core Course nyingine inaitwa LOGIC AND SEMANTICS. Pale katika maelezo yake kuna sentensi mbili ambazo zimetenganishwa na mkato. Sentensi ya kwanza ina qualify kuwa STATEMENT, ya pili ni opinion tu ambayo imeishia na alama ya mshangao haina sifa ya kuwa statement sababu majibu yake hayawezi kuwa TRUE au FALSE. Ila ile ya kwanza majibu yake yanaweza kuwa TRUE au FALSE.
Kwa kumalizia tu ile ya Kwanza ni PREDICATE by means of copula. His words ware in a form of rhetoric. Yaani yule jamaa anaweza kutiwa hatiani kwa sababu ya sehemu ya kwanza maneno yake ya porojo. Mwisho wa siku hata akishinda anakuwa ameshapata usumbufu na hasara ya pesa, muda n.k. ikiwepo kutulia mahabusu kwa masaa kadhaa. Kukosa uhuru wa kusafiri pia.
Umenena. Nilitaka kufikirisha Wale wanaotayarisha mashtaka. Wameweka kila kitu mahali pamoja kiasi kwamba si rahisi mtu ambaye logic inampiga chenga kuona tofauti. Kwa utaalamu wako umeweza kuona logical connectors ambazo si wengi wanaziona. Umetafautisha statement ya argument na rhetoric. Nakupa big up. You have made a good differentiation that is not found in the note sent to the accussed.
 
Kiukweli Bado sana Tanzania, Yule mzee wa watu Mnyenyekevu Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa anatukanwa sana tu, lakini sijawahi kusikia Mtu kafunguliwa shitaka... hehehe Tunapaswa kujiassesssssss
 
Leonard Kyaruzi akutwa na hatia leo 20/04/2018 na kuhukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au faini ya shilingi milioni tano (5,000,000/-)
 
Kwani ukisema "Pombe" ndio umemaanisha mkaazi wa magogoni??

Ene wei, kuna wakati miaka ya zamani sana wanasayansi waliamini kuwa dunia iko kama meza na ilikuwa kosa la jinai kujinasibu na falsafa kinyume na hiyo.
Ile ya JPM, walipoambiwa wamlete JPM, kesi iliishia pale....
 
Mulokozi atachomoka tu, Kwani pombe ni mtu ama kinywaji? hata kama ni jina moja Je kuna kina Pombe wangapi Tanzania.
 
Apigwe mvua za kutosha huyo kijana ili apate adabu
haisaidii maana huku mitaani anatukanika sana ................kukamata watu kama kina mulokozi haita msaidia cha msingi atatue matatizo ya watanzania plus ufafanuzi wa ile kitu 1.5
 
haisaidii maana huku mitaani anatukanika sana ................kukamata watu kama kina mulokozi haita msaidia cha msingi atatue matatizo ya watanzania plus ufafanuzi wa ile kitu 1.5
Awahi hii ni ya kupambana na watu sio ya kupambana na maendeleo
 
Mulokozi atachomoka tu, Kwani pombe ni mtu ama kinywaji? hata kama ni jina moja Je kuna kina Pombe wangapi Tanzania.
Wengine wanasema wanaangalia Mada inahusu nn,ila kisheria sijui kama Mada inaweza watia hatiani wachangiaji.Maana wengi tu wanatukanwa live
 
Huyo kakosa mawakili wazuri tu wa kumtetea kesi ilikuwa rahisi sana hiyo..
Kwani Pombe ndo nani sasa?
Unajua hiyo comment aliitoa kwenye mjadala gani?Mfano unazungumzia jinsi Rais anavyoshughulikia issue ya makinikia,halafu mtu anataja jina moja huku akitukana,unadhani atapitia mlango upi kutoka?
 
Back
Top Bottom