Mwingine adakwa kwa kumkashifu Rais Magufuli kwenye mtandao wa "WhatsApp"

Dawa ni kutafta m7 den unamtukana wakikupeleka mahakamani unawalipa. Ila cha muhimu message inakuwa imesambazwa tena kwa njia hii ndyo wanazidisha kusambaza ujumbe maana wengine tulikuwa hatujui kuwa raic wetu ni B...... kama jamaa alivyosema.
 
Sheria ya Makosa ya Kimtandao inaendelea kushika kasi, mwingine tena aingia matatani baada ya kubainika kutumia Lugha mbaya dhidi ya Rais kwenye mtandao wa WhatsApp.

Hapa cha muhimu ni kujuwa sheria hii inafanya kazi, inakamata, inahukumu na kufunga wananchi. Tutumie lugha ya staha, vijana hamko salama kwenye fb, twitter na WhatsApp...sheria ya mitandao ipo na inazunguka kama Simba aungurumae akitafuta mawindo.
=========

Leonard Mulokozi Kyaruzi amefunguliwa mashtaka kwa kumkashifu Rais John Pombe Magufuli kupitia mtandao wa WhatsApp tarehe 2 Juni 2016. Kyaruzi anatuhumiwa kutenda kosa hilo akiwa jengo la Tanzanite jijini Dar es Salaam ambapo aliandika "Hivi huyu Pombe ni kwamba hana washauri? Hashauriki? Au ni zuzu? Bwege sana huyu jamaa, he doesn't consider the law in place before opening his mouth!. Au na yeye anaumwa ugonjwa wa Mnyika?" Ilisema sehemu ya hati ya mashtaka.

kwa mtu anayefahamu kiswahili fasaha naomba maana halisi ya neno BWEGE, ZUZU NA KILAZA
 
Cheki hii "of SUM Nujoma" badala ya SAM Nujoma.
 
Auaye kwa upanga atakufa kwa upanga, dunian ndo kuna matabaka Mara huyu mfalme, tajiri, maskini, kilema, nk lakin kwa Mungu wote tupo sawa tu, unapomuumiza mwenzio eti kisa tu kakukashifu ni dhambi kubwa sana mbele za mungu,
Sijajua alipokuwa mtu wa kawaida ni wangapi walimtukana na kumtumia maneno ya kashifa ila nina uhakika hakuwafanya chochote, je moyo aliokuwa nao kipindi hicho na Leo ni tofauti? Naamini apana,
Wengi huwa wanasema pata pesa tukujue tabia yako hapa naanza kuliona hili.
Nataman itokee cku nafas hii waje kupata wengine ili lile neno mkuki kwa nguruwe lije kutimia vizur.
 
Kwa sheria hii,Kama wanaomtusi Mbowe na lowassa wangechukuliwa hatua pia.Magereza na sero za polisi zingehitaji upanuzi wa haraka.
Na tena wangerudi bungeni haraka sana ili kupata bajeti yenye marekebisho ili kukidhi mahitaji ya magereza
 
sio vizuri kutukana mtu yeyote, kwa nini wengine wakitukanwa serikali haichukui hatua?
 
Sisi tunataka uchumi uinuliwe sio mambo ya maadili haya ni maswala ya tamaduni.Kama vile mwanamke kumpigia magoti mwanaume imepitwa na wakati na hii pia baadae itaonekana uzamani.

Huu utukufu kwa zama hizi mtafunga wengi.
 
"Hivi huyu Pombe ni kwamba hana washauri? Hashauriki? Au ni zuzu? Bwege sana huyu jamaa, he doesn't consider the law in place before opening his mouth!. Au na yeye anaumwa ugonjwa wa Mnyika?
Ninajikumbusha yale niliyosoma zamani katika somo la fikra tunduizi na uchambuzi wa hoja. (critical thinking and argumentation) Tulifundishwa kwamba, kuna sentensi za aina nyingi na siyo kila sentensi ni TAMKO (statement). Tukaambiwa kile ambacho kinaweza kutamkwa kama tamko ni sentensi ambayo inaweza kuwa au kweli au si kweli (True or False) katika nukuu ya hapo juu, hakuna statement hata moja ambayo mtuhumiwa anaweza kutakiwa kujibu. "Bwege sana huyu jamaa, he doesnt consider the law in place before opening his mouth!" Kimantiki hii ni emotive sentence. Hauwezi kusema kwamba katamka kwamba Rais ni bwege bali kashangaa iwapo ni bwege. Kwa lugha ya kimaandishi (literary launguage) sioni mahali ambapo wanaweza kusema alitamka kumtukana Rais isipokuwa alishangaa yale anayoyaona. Hakuyatolea uamuzi ambao ndio ungemtia hatiani. Nadhani wanaoandaa mashtaki wanapaswa kurudia somo la Legal Reasoning ambayo msingi wake ni Logical differentiation. Hilo silioni katika andalizi lao la shtaka.
 
Mungu atamlipia Mh.Lowassa wote wanaomtukana , kumwita fisadi ili kumchafua huku ukweli wakiujua
 
Umeongea logic zako lakini unajifanya haujui kazi za punctuation mark!! Kwani hujaona alama ya mkato (,) baada ya maneno haya "Bwege sana huyu jamaa"? Haujaona kama kuna tamko la kumwita bwege sana huyo mtu kisha akaweka statement yenye mshangao kama kukazia assertion yake kwa kuweka proof example ( He doesn't consider.....) ku-prove validity of his statement yake? Mimi sijui sheria labda tusubiri hukumu. Tusiwatie moyo vijana wakiendelea kujitoa ufahamu wataishia pabaya. Tuweke siasa pembeni hivi yule ni mtu mzima huwezi kumtusi hivyo. Je kaka yake au baba yake wa umri ule aitwe bwege hadharani yeye atafurahi?
 
Jaman kuandika jina au kutoandika haisaidii kujificha kama utaenda mrama na kwenye ujumbe wa kukashifu au kutukana tukifanya ufuatiliaji wa sms zetu tunaona kila kitu kuhusu usajili wa namba cha msingi tujitahidi kuandika kiungwana na kama una hasira tulia kwanza pamoja tuzingatie sheria hata kama zinatubana tumezipitisha na Zina fanya kazi

Walipitisha wabunge wa kijani sio sisi!!
 
U

Umeongea logic zako lakini unajifanya haujui kazi za punctuation mark!! Kwani hujaona alama ya mkato (,) baada ya maneno haya "Bwege sana huyu jamaa"? Haujaona kama kuna tamko la kumwita bwege sana huyo mtu kisha akaweka statement yenye mshangao kama kukazia assertion yake kwa kuweka proof example ( He doesn't consider.....) ku-prove validity of his statement yake? Mimi sijui sheria labda tusubiri hukumu. Tusiwatie moyo vijana wakiendelea kujitoa ufahamu wataishia pabaya. Tuweke siasa pembeni hivi yule ni mtu mzima huwezi kumtusi hivyo. Je kaka yake au baba yake wa umri ule aitwe bwege hadharani yeye atafurahi?
Haujapata mantiki yangu. Tatizo haujasoma mantiki kama somo. Mshangao has never been a statement in logic. Go back to your elementary logic class in the last year of english thinking tools' course or in the first year of critical thinking and argumentation course. kwenye mkato hapo panaweza kuwa na la kuzungumzwa!!!
 
Sheria ya Makosa ya Kimtandao inaendelea kushika kasi, mwingine tena aingia matatani baada ya kubainika kutumia Lugha mbaya dhidi ya Rais kwenye mtandao wa WhatsApp.

Hapa cha muhimu ni kujuwa sheria hii inafanya kazi, inakamata, inahukumu na kufunga wananchi. Tutumie lugha ya staha, vijana hamko salama kwenye fb, twitter na WhatsApp...sheria ya mitandao ipo na inazunguka kama Simba aungurumae akitafuta mawindo.
=========

Leonard Mulokozi Kyaruzi amefunguliwa mashtaka kwa kumkashifu Rais John Pombe Magufuli kupitia mtandao wa WhatsApp tarehe 2 Juni 2016. Kyaruzi anatuhumiwa kutenda kosa hilo akiwa jengo la Tanzanite jijini Dar es Salaam ambapo aliandika "Hivi huyu Pombe ni kwamba hana washauri? Hashauriki? Au ni zuzu? Bwege sana huyu jamaa, he doesn't consider the law in place before opening his mouth!. Au na yeye anaumwa ugonjwa wa Mnyika?" Ilisema sehemu ya hati ya mashtaka.

Huyu kijana kasitakiwa kwa sheria ya Electronic and Postal Comminication Act, No. 3 of 2010, section 118 (a) na Sio Cyber Crime Act ya 2015. Sheria hii nasema hivi kwa Kingereza:

118: Any person who-

(a)by means of any network facilities, network services, applications services or content services, knowingly makes, creates, or solicits or initiates the transmission of any comment, request, suggestion or other communication which is obscene, indecent, false, menacing or offensive in character with intent to annoy, abuse, threaten or harass another person; commits an offence and shall, on conviction, be liable to a fine not less than five million Tanzanian shillings or to imprisonment for a term not less than twelve months, or to both and shall also be liable to fine of seven hundred and fifty thousand Tanzanian shillings for every day during which the offence is continued after conviction

Cha kushangaza ni kwamba hii sheria ilikuwepo toka mwaka 2010 na hatujawahi kusikia mtu kashitakiwa kwa kumkashifu mtu mwenye wadhifa wa juu sarikalini, je hii ni double standards kwa viongozi wetu ama inakuwaje. Kwa sababu serikali ile ile ambayo ilikuwa inaongozwa na viongozi waliopita haikuchukua hatua wakati viongozi walikuwa nasemwa sana mitandaoni ndio hii hii inachukua hatua kwa uongozi huu?

Lazima tofauti iwepo kati ya Rais na Mtu wa kawaida.Ielewewe Urais ni cheo cha juu kabisa katika Nchi yetu na kama nacho tunakidharau tunaheshimu nini?
Watu tunaweza ona kama cybercrime inambeba Rais lakini kiuhalisia inajenga msingi wa kimaadili juu ya cheo cha Rais ambacho siyo kwa Rais aliyepo madarakani tu bali hata kwa Marais wengine watakaofuatia.

Sio Cyber Crime iliyotumika ni Electronic and Postal Communication Act ya 2010, na katika sheria watu wote wanachukuliwa sawa mbele ya sheria, awe raisi au mwanachi wa kawaida. na mtu hawezi kuhukumiwa adhabu kubwa sababu amemtukana raisi, na sheria haijatenganisha raisi na wananchi wa kawaida.
Serikali na iwe fair ichukue hatua kwa watu wengine wakitukanwa na sio raisi peke yake ili jamii isione kwamba hii sheria ipo kwa ajili ya watu fulani tu.
 
Back
Top Bottom