Spear
JF-Expert Member
- Jun 21, 2008
- 507
- 28
Audio Recording of Michael Jackson during Dr Murray Trial - YouTube
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe.It's unethical and immoral to display the dead body's image.
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe.
Hii tabia ya kuweka picha za watu waliokufa bila idhini ya wafiwa ni kitu kibaya sana.
Mfano vyombo vyetu vya habari vipo mbele sana kutoa picha za watu walikufa na isitoshe
wanatoa picha za watu walliokufa kwa ajali wakiwa na hali mbaya ambayo hata mtu mzima
unaona tabu kuingalia hiyo picha,je watoto au ndugu wa marehemu wanachukuliaje?
Wanaoto picha hizo ikiwa ni ndugu zao wanatolewa,je watajisikijiaje?

shocking: Photo apparently showing michael jackson's dead body on a gurney on the opening day of the trial of dr conrad murray
click hapo chini kwenye maneno mekundu
audio recording of michael jackson during dr murray trial - youtube
Toa unafiki wako hapa, we si ulisemaga eti mi naongea pumba sasa unaungana na mimi nini? Mi huwa sifagilii masaburi kama wewe, unasikia weweee?
Mkuu hujaelewa namaanisha nini.Sijasema aliye weka post,nimesema viombo vyetu vya habari wanaweka pichaHii Picha Imetolewa Na Vyombo vya habari vya kimataifa, ktk kesi ya Daktari Wa Mj, swali je familia ya Mj hawajaiona, pili mbona mnamshambulia mwenzenu kana kwamba yeye ndiye aliye piga hii picha? mwisho tuache kuwaona wenzetu wanaopost habari kuwa ni wajinga.
Je kwa mfano jamaa yako amefariki kwa kupata ajali na mwili umeharibika ungependa picha iwekwe kwenye magazeti?kwa hiyo tz1 siku ukitwaliwa na Bwana MUNGU wako itabidi usahaulike on the sport.
Kumbe wewe mzunguToa unafiki wako hapa, we si ulisemaga eti mi naongea pumba sasa unaungana na mimi nini? Mi huwa sifagilii masaburi kama wewe, unasikia weweee?