Kesi ya Udhalilishaji dhidi ya Michael Jackson kuanza kusikilizwa Miaka 14 baada ya kifo chake

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,617
Kwa mujibu wa Mtandao wa TMZ, Mahakama ya Rufaa ya California itaruhusu mashtaka ya Wade Robson anayedai kuwa MJ alimdhalilisha kingono katika Ranchi yake ya Neverland kuanzia akiwa na umri wa miaka 7 hadi 14 kusikilizwa katika mahakama ya sheria

Mashtaka hayo yameelekezwa kwa kampuni ya Jackson Corporation, ambapo imesema haikuwa na jukumu la kisheria la kumlinda mtu yeyote akiwemo Robson, kwani kampuni hiyo haikuwa na udhibiti wa uhuru wa Michael Jackson

Mnamo 2005, Jackson alipokuwa kwenye kesi ya kumdhalilisha mvulana mwingine, Robson alishuhudia kwamba ingawa alilala kwenye kitanda cha MJ, hakuna kilichotokea.

Lakini hivi sasa anasema alitoa ushahidi wa uwongo kwa sababu ya alidanganywa na kuharibiwa ubongo

............

According to @TMZ_TV, the California Court of Appeals will allow #WadeRobson's molestation accusations against #Michae|Jackson to be heard in a court of law.

Robson claims Jackson molested him at his Neverland Ranch from 7-years-old until he was 14.

Robson is suing Jackson's corporation. The company is arguing that they had no legal duty to protect anyone including Robson since the company had no independent control of Michael Jackson.

In 2005, as Jackson was on trial for molesting another boy, Robson testified that although he slept in MJ's bed, nothing happened.

He now says he falsely testified because of "complete manipulation and brainwashing.

Source: TMZ
 
Hollywood wakikuchoka hakuna rangi ambayo utashindwa kuiona,kuna mambo ya ajabu sana yanafanyika kuchafua watu,Michael alipenda sana watoto wakaamua wamchafue tu,,,wakati kuna watu wakubwa hadi leo wapo hawajakamatwa wakati nao walikua kwenye kisiwa cha mtandao wa kimataifa cha biashara ya ngono kwa watoto wadogo cha Billionaire Epstein
IMG_7323.jpg
 
Kwa mujibu wa Mtandao wa TMZ, Mahakama ya Rufaa ya California itaruhusu mashtaka ya Wade Robson anayedai kuwa MJ alimdhalilisha kingono katika Ranchi yake ya Neverland kuanzia akiwa na umri wa miaka 7 hadi 14 kusikilizwa katika mahakama ya sheria

Mashtaka hayo yameelekezwa kwa kampuni ya Jackson Corporation, ambapo imesema haikuwa na jukumu la kisheria la kumlinda mtu yeyote akiwemo Robson, kwani kampuni hiyo haikuwa na udhibiti wa uhuru wa Michael Jackson

Mnamo 2005, Jackson alipokuwa kwenye kesi ya kumdhalilisha mvulana mwingine, Robson alishuhudia kwamba ingawa alilala kwenye kitanda cha MJ, hakuna kilichotokea.

Lakini hivi sasa anasema alitoa ushahidi wa uwongo kwa sababu ya alidanganywa na kuharibiwa ubongo

............

According to @TMZ_TV, the California Court of Appeals will allow #WadeRobson's molestation accusations against #Michae|Jackson to be heard in a court of law.

Robson claims Jackson molested him at his Neverland Ranch from 7-years-old until he was 14.

Robson is suing Jackson's corporation. The company is arguing that they had no legal duty to protect anyone including Robson since the company had no independent control of Michael Jackson.

In 2005, as Jackson was on trial for molesting another boy, Robson testified that although he slept in MJ's bed, nothing happened.

He now says he falsely testified because of "complete manipulation and brainwashing.

Source: TMZ
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya umaarufu, utajiri, Power na Gayism!!

Most prominent people wanajihusisha mno na gayism why?
 
Leo nimesoma mahali kuwa huyu mjomba ni teja. Pesa alizolipwa na Netflix zote kavutia poda sasa anatafuta kesi.
 
Back
Top Bottom