Mwigulu nchemba ndani ya tuongee asubuhi Star TV

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
Wadau ingieni star tv mummwone mzee wa kazi nchemba yupo na machali.
Wanajadili nidhamu ya bunge na utawala bora.
 
hao jamaa,wanaweza kuzipiga studio! Mwigulu anakuwa na dharau kubwa kwa vyama vya upinzani! na Machali haitaji dharau kabisa....
 
machali ni noma!hata huyu mwingine kajibu vzr.......tuje kwa mwigulu km kawaida yake,pumba 2
 
eti wabunge wote wa ccm wanapochangia bajeti ni lzm aunge mkono hoja usipounga mkono hoja unatakiwa uachie ubunge,eti huo ni utaratibu...by mwigulu
 
mwingulu hana jipyaeti anaunga bajet mkono ili asifukuzwe kwenye chanma hata kama bajeti mbovu
 
Kila jambo na wakati wake,Shibuda ni hovyo nae,Hatuyumbishwi na watu wepesi ktk CDM!Yan huyu jamaa Nchemba sijawah sikia kaongea point hata siku moja
 
KAma jana umeangalia Malumbano ya hoja ungeona jinsi mzee mmoja alivyomchana Mwigulu akalalamika kwa nini CCM wameamua kumwacha avuruge Chama wenyewe wanadhani ati yuko sahihi na ndio Dawa kwa wapinzani kumbe anaharibu..sio kweli ni Tanznia ndio wabunge tena wachahce wanaweza kukubaliana na uzembe wa Bajeti mbovu ya Serikali..Je Mwigulu anawakailisha Chama au Wananchi..
 
eti mwigulu anasema,baba wa taifa alisema bila ya ccm nchi itayumba!

hahaaa Pumba za Mwigulu ni aibu sasa hivi nchi inayumba chini ya CCM analionaje hili. Nchi inayumba kama hali ya maisha inavyokua mbaya sasa hivi na migomo ya wafanyakazi wa umma
 
Mungu anisamehe bt kweli kutoka moyoni simpendi huyo mwigulu, simpendi kabisa.
 
Back
Top Bottom