Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

Asikwambie mtu, hiki anachokifanya Mwigulu kwenye uchumi (kodi na tozo) ndicho walichokifanya wazungu na bado wanakifanya hadi leo. Hata Kasari alikusanya kodi, hata hizi zaka na sadaka kwenye dini zetu ni kodi pia. Maana Bila kodi nchi haikwendi. Kasoro yetu ni kwamba watumishi wanalipwa kidogo sana ukilinganisha na idadi ya kodi wanazotakiwa kulipa, lakini watu wetu wengi (90%) hawana ajiri na wenye ajira wanalipwa ujira kidogo sana, wale wanaolima na kufuga hawana masoko ya uhakika na bei za uhakika kwa mazao yao, hivyo ulipaji kodi ni mdogo pia. Hata hivyo nchi ina madini ya chuma mengi, makaa, madini, gesi, mbao, wanyama pori ambao hatujafanya vya kutosha kuinua vipato vya watanzania kwa kutoa ajira na ujira wa uhakika.
 
Watu wanaujua umuhimu wa kodi na tozo, wanacholalamikia ni kiwango kinachotozwa. Wangepunguza kiwango mlipaji wala asingehisi kuwa anailipa na kuchangia uchumi na uendeshaji wa nchi moja kwa moja.

Wawe wabunifu ili kodi zisiumize walipaji na wakati huo huo ziguse wengi kwa kulipa kiasi kidogo, pato litaongezeka maradufu.
 
Wanabodi,

Tuweke ushabiki pembeni, kati ya watangaza nia watatu kati ya jana na leo, Mwigulu Lameck Nchemba ndiye mgombea who is the most bonafide genuine so far, ukimuangalia huku unamsikiliza, utaiona his genuinety kutoka moyoni mwake 'to practice what he preach' kwa aliyoyasema yanaonekana kabisa yametoka moyoni mwake, tofauti na hawa wengine wawili waliyoyatamka yametoka tuu midomoni mwao, hivyo kiukweli kabisa wa nafsi yangu, nadhani kwa kati ya hawa watangaza nia watatu so far, naamini Mwigulu can make the best president this country has ever had tangu Mwalimu Nyerere!.

Jee wewe mwenzangu ulibahatika kumsikia, unamuonaje?!.

NB: To make the best president ni jambo moja, lakini kuchaguliwa na chama kuwa mgombea ni jambo jingine!.

Kati wa watangaza nia hawa watatu, kuna mgombea anayependwa sana na watu na huyu sii mwingine bali ni ni Edward Lowassa, jee ni kwa nini Edward Lowassa anapendwa sana, sababu zinajulikana!, ila kama urais ni kupendwa basi rais wetu ni Lowassa!.

Kuna mgombea ambaye ni the most experieced so far, huyu ni Stephen Wasira, yeye ana uzoefu toka enzi za Nyerere alikuwa mbunge wa CCM, akahama CCM na kuwa mbunge wa upinzani, na kisha kurejea CCM, hivyo kama urais ni uzoefuu, then rais wetu ni Wasira.

Kati ya hawa watangaza nia watatu wa mwanzo wa CCM, Mwigulu Nchemba kwenye aspect ya originality na genuinety, Mwigulu ndio the most real, the most original na the most genuine!.

Mwigulu ameonyesha yuko real and down to earth kwa kuonyesha ametoka familia masikini, sio mtu wa makuu ya kujionyesha ili just to impress people kwa mbwembwe zozote kwenye uzinduzi, set yake ilikuwa simple, ameongelea background yake ya kimasikini na kuthibitisha kuwa yeye ni best brain tangu alikopita mpaka hapa alipo lakini kamwe hajasahau alikotoka!, hivyo huyu ndio mfano halisi wa Mtanzania wa kawaida, anaonyesha anawajua Watanzania, anaijua Tanzania, anawajua Watanzania wanataka nini, na anaijua Tanzania inatakiwa ifanye nini kutoka hapa tulipo twende kwenye the next level!.

Ukiangalia speech za wengine ni za kuandikiwa na mtu akisoma speech ya kwake mwenyewe aliyoiandika mwenyewe, utamjua, mtu akisoma speech aliyoandikiwa kisha aka kremu na kuja kusoma utamjua, na mtu akiandika speech yake mwenyewe na kuisoma mwenyewe, utamjua!, Mwingulu ndio was the most original, amekuja na talking notes tu kama Nyerere na vitu vyote kutoka kichwani!.

Hivyo kwa maoni yangu, so far, ni Mwigulu ndio can make the best president this country can ever had, ila kwa sababu watia nia wanaendelea nitaendelea kuwapatia uchambuzi wangu kidogo kidogo kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa!.

Wakati tukielekea kumpata rais wetu wa 2015, kwa vile CCM ndio chama tawala, hatuwezi kukwepa kuuzungumzia mtindo wa uchaguzi wa kumpata mgombea wa CCM kwa sababu za kihistoria ya hii miaka 50 ya uhuru wetu, mgombea wa CCM ndie rais wa nchi, unless kama mwaka huu historia itabadilika!.

Tukiuchukulia mchakato wa 2005 wakati JK alipochaguliwa, kama reference, assuming hawa watatu ndio wameingia tatu bora, Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wakipewa choice ya kuchagua between "the most loved", "the most experienced" and the "the best president", watachagua mtu 'anayependwa na watu', mtu 'atakayechagulika' kwa urais kwa lengo la kuwapatia ushindi, na baada ya kumpitisha mbinu nyingine zote safi na chafu hutumika kwa sababu lengo ni ushindi, na ukiishapatikana zile mbinu zilizotumika zinakuwa justified na the end results.

Hivi ndivyo JK alivyochaguliwa ile 2005 kwa sababu kwenye the finalist watatu, JK was never the best, kulikuwa na "the most experienced" Dr. Salim, "The best Brain", Prof. Mwandosya, na "the good looking" Jakaya Kikwete, akapitishwa JK kwa hoja kuwa 'ni mwenzetu' ndiye 'anayependwa na watu', as if mapenzi ya watu ndio uongozi wa nchi!. Matokeo ya kumchagua rais 'mwenzetu' na sifu kuu ni 'kupendwa na watu' ili kukiletea chama ushindi wa kishindo, ndio haya ya kuunda serikali ya kishikaji yenye madudu kibao!, watu wakiboronga ni kuhamishia tuu, kwa sababu ni 'wenzetu', jee kwa 2015 Watanzania wanahitaji rais 'mwenzetu' tena, au this time tunahitaji the best?!.

JF has a role to play kupitia ma great thinkers wa jf, tutangulize mbele maslahi ya taifa kwa kuyaweka pembeni mahaba niue ya wapendwa wetu, na kujitolea kuwaelimisha wananchi wetu nchi hii inahitaji nini na kuongozwa na mtu wa aina gani, ili waweze kufanya informed decisions kwenye choice of president, ili ifike mahali chaguo la mgombea wa CCM sio lazima ndio automatikally awe rais wa nchi, kama CCM wakituletea ule ujinga ujinga kama wa 2005, tunapiga tuu chini CCM only if huko kungine kuna the better alternative!.

Ushauri wangu wa kwanza kwa wana JF, huyu Mwingulu Nchemba sio mtu wa kubezwa hata kidogo, he is a man to keep a close watch seriously, if the best is what we are looking for!.

NB. Kwa walionidhania mimi Paskali, niko kambi fulani, naomba tena kuwathibitishia kuwa Paskali japo ana chama, lakini hana kambi, hana mtu, ila kuna watu anawakubali akiwemo yule 'jamaa yetu', lakini linapokuja suala la kuchagua kati ya mapenzi binafsi kwa watu na maslahi ya taifa, nitatanguliza mbele maslahi ya taifa!, hivyo sitarajii kuulizwa kama nimehama kambi kwa sababu sijawahi kuwepo kambi yoyote!.

Hivyo kati ya hawa watatu wa mwanzo, kiukweli mimi Paskali, nimeguswa na Mwigulu Nchemba!.

Vipi wewe?.

Paskali

NB. Kutokana na kuwa bize na mambo mengi, sitaweza kuchangia uzi huu, wala kujibu hoja au swali lolote hivyo nitakushukuru kama utasoma tuu bila kuniuliza chochote!.
Ulipewa bahasha ya khaki sio bure
 
Asikwambie mtu, hiki anachokifanya Mwigulu kwenye uchumi (kodi na tozo) ndicho walichokifanya wazungu na bado wanakifanya hadi leo. Hata Kasari alikusanya kodi, hata hizi zaka na sadaka kwenye dini zetu ni kodi pia. Maana Bila kodi nchi haikwendi. Kasoro yetu ni kwamba watumishi wanalipwa kidogo sana ukilinganisha na idadi ya kodi wanazotakiwa kulipa, lakini watu wetu wengi (90%) hawana ajiri na wenye ajira wanalipwa ujira kidogo sana, wale wanaolima na kufuga hawana masoko ya uhakika na bei za uhakika kwa mazao yao, hivyo ulipaji kodi ni mdogo pia. Hata hivyo nchi ina madini ya chuma mengi, makaa, madini, gesi, mbao, wanyama pori ambao hatujafanya vya kutosha kuinua vipato vya watanzania kwa kutoa ajira na ujira wa uhakika.
Kodi ni muhimu sana lakini unwaeza kujibu haya?;
1. Kila mwezi tunakusanya tozo kiasi gani
2. Hizo tozo ni mpya je zimepangiwa eneo gani la maendeleo?
3. Miundombinu yetu imeboreshwa kuliko awamu zilizopita?

Hatupingi tozo tunapinga tozo kutotunufaishs
 
Nakubaliana na kodi 100% ila napingana na tozo 100%. Huwezi kufanya double taxation kwa kitu kile kile, mshahara unakatwa paye, then unawekwa bank kwa ajili ya matumizi yangu. Badala ya kutoa na kukatwa service charges za bank, nakatwa kodi nyingine kwa jina la tozo...hii kwangu sio sawa mkuu glenn.
 
Kodi ni muhimu sana lakini unwaeza kujibu haya?;
1. Kila mwezi tunakusanya tozo kiasi gani
2. Hizo tozo ni mpya je zimepangiwa eneo gani la maendeleo?
3. Miundombinu yetu imeboreshwa kuliko awamu zilizopita?

Hatupingi tozo tunapinga tozo kutotunufaishs
Duuh! maswali yako yanaeleweka lakini ni dhaifu sana. Kuna mambo yametokea ambayo hayajatarajiwa kutokea. mfano, bei ya mafuta kupanda juu na serikali kulazimika kutoa ruzuku kupunguza makali kwa wananchi, kupungua kwa misaada na ahadi za nchi wahisani kwenye bajeti yetu kutokana na vita ya Ukraine kumeacha mashimo kwenye matumizi yetu, mabadiliko ya hali ya hewa na kutarajia mvua chache na mavuno kidogo yahataingia kwenye dharura zetu.
 
Acha ujinga ruzuku iliyotolewa ni sawa na kupunguza sh 100/lita.
Bado huko kwenye mafuta kuna tozo ya sh 1,100.
Hivi unajua kwanini Zanzibar mafuta ni bei chee sana chini ya 3k?
 
We Twilumba wewe, unakuwa kama huwajui Watanzania!. Ni wepesi wa kulalamika na wepesi wa kusahau, yeyote atakayepitishwa na kile chetu pekee tukipendacho, tunasahau yote!, siku ya siku ikifika ni "unachukua, unaweka waa!."
Hii maana yake kile chetu, kikitupitishia bakuli, Watanzania tunachagua bakuli!.
P
Sasa nimekuelewa!!
 
JF has a role to play kupitia ma great thinkers wa jf, tutangulize mbele maslahi ya taifa kwa kuyaweka pembeni mahaba niue ya wapendwa wetu, na kujitolea kuwaelimisha wananchi wetu nchi hii inahitaji nini na kuongozwa na mtu wa aina gani, ili waweze kufanya informed decisions kwenye choice of president, ili ifike mahali chaguo la mgombea wa CCM sio lazima ndio automatikally awe rais wa nchi, kama CCM wakituletea ule ujinga ujinga kama wa 2005, tunapiga tuu chini CCM only if huko kungine kuna the better alternative!.

Ushauri wangu wa kwanza kwa wana JF, huyu Mwingulu Nchemba sio mtu wa kubezwa hata kidogo, he is a man to keep a close watch seriously, if the best is what we are looking for!.

Paskali
Waziri wa fedha na mipango Dk. Mwigulu Lameck Nchemba amewaita vijana na kukutana nao huku nyuma yake kukiwa na ajenda ya siri na yenye nio ovu kwa vijana na viongozi wao.

Kikao hiki Mwigulu alichotumia kwa lengo la kujijenga yeye binafsi

Waswahili walisema fumbo mfumbie mjinga mwerevu ataelewa katika hili Kuna ajenda ya siri kuelekea chaguzi si tu katika Ile ndoto yake ya kuwa Rais wa nchi
Hakuna ubaya wowote kwa mwana CCM yeyote kuwa na ndoto ya urais. Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!
P
 
Back
Top Bottom