Mwigulu analeta utani kwenye maisha ya KIWIA?

Lissu kamshusha p' yake kwa kukumbusha kujadili hoja na siyo mambo mengine!!!!!!
 
Amepoteza hadhi huyo Nchemba, Mtoto wa kiume hajisifu ujinga, Huwezi kujiita mchumi Daraja A BOT wakati ufisadi mkubwa na Mfumuko wa bei ni wakutisha ni kichaa 2 anaweza kujisifu nmeoga huku mwili mzima unanuka kinyesi
 
na kumbe lisu hamjui chemba kampotezea kinoma mpaka likabaki linawayawaya 2 huku linaona noma chezea lisu badala ya kutoa mwongozo kaanza kuhutubia na ndugai anamuangalia 2 yaani upendeleo wa wazi kabisa.
 
Cheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeembaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Mwigulu Nchemba akili yake imekaa kama kiudakuudaku vile!
...First Class aliyonayo inawezekana aliipata kwa kudesa au alikuwa Bingwa kukalili kuliko kuelewa... si rahisi intellectual person aka behave kwa namna yake.
 
Huyo namsubiri kwa hamu huku Sumbawanga wakati wa uchaguzi mdogo wa mbunge
 
Huyu nchemba ana leta mambo yakishoga bungeni!anapenda kurushiana maneno kama mwimba taarabu.ina wezekana huyu kijana niwali.
 
Mwigulu Nchemba akili yake imekaa kama kiudakuudaku vile!
...First Class aliyonayo inawezekana aliipata kwa kudesa au alikuwa Bingwa kukalili kuliko kuelewa... si rahisi intellectual person aka behave kwa namna yake.
huyo alidesa tu si umeona kusoma kale kakitabu na kukaelewa imemghalimu wiki moja
 
  • Thanks
Reactions: GP
Kuonyesha kuwa yeye ni kilaza kiasi gani na wakati wote huwa hana hoja za maana bali kutafuta umaarufu wa bei chee kwa kutaka kuidhalilisha cdm wakati wote, amekaa zaidi ya siku 3 ndipo kagundua makosa yalofanyika kwenye budget kivuli ya kambi ya upinzani.

Mheshimiwa Lisu kamuumbua kuwa kama yeye kweli ni kichwa na makini kama anavyojinadi, kwa nini alishindwa kugundua siku ileile.?? Kiukweli jamaa huwa anakera sana kumsikiliza akiongea bungeni. Hanaga hoja za maana.
 
Hasira za Arumeru bado hazijamuisha, aliidhinishiwa fungu kubwa la pesa za kununulia kura na akaambulia patupu, hakuna lingine zaidi.
 
huyu ms'?/'?@'?.,@ge sijuwi kazukia wapi mpenda sifa mzinzi manafiki mla punda huyu kila kitu siku hizi anjifanya anakihelele mzinzi no 1.
 
mwingulu hata afanyeje aviwezi vichwa vya Cdm washamuacha mbali sana anapoteza muda na kujiaibisha na kushindana na lisu,zitto, mnyika, mbowe nk HUWAWEZI.
 
mwigulu mchemba achafua hali ya hewa bungeni baada ya yeye kujikita takriban siku tatu mfululizo kuchambua typing error za za bajeti mbadala badala ya kujiklita kufatilia matatizo ya makubwa yanayokabili jimbo lake mkoani singida ameomba muongozo kurekebisha tarakimu zilizokosewa katika bajeti kivuri je wanajamvi mbunge huyu hana majukumu kwenye jimbo lake lissu kapinga atua hiyo na kumuonyesha yeye ni kiraza tu badala ya siku nne alizotulia kupitia bajeti hiyo alitakiwa ajikombe kwa waziri mkuu amplekee maji kwao. wanachi kule kwao wanawakilishwa na nani? jamani nyie wachumi mkanyeni kichaa huyu anawadhalilisha!

Acha uongo kijana Nchemba kasema mambo mazuri sana ameeleza udhaifu wa bajeti mbadala iliyowakilishwa na chadema kama imeandikwa kimakosa maneno yamerudiwa rudiwa na pia ameeleza makosa yaliyopo kwenye namna ya kutafuta pension kwa pensioners ,acha uongo na kupotosha ukweli ata mimi nimefuatilia bunge Mh Nchemba kasema facts alichokifanya Mh Lissu ni kusema hilo suala mjadala wake ulipita haina haja kujadili tena na kumuomba mh spika lijadiliwe suala lililopo mezani hajasema lolote la msingi ,Kijana acha kuficha ukweli na kusema uongo ili kupotosha umma na kuficha udhaifu wa bajeti mbadala mbovu ya Chadema ,tunajua unafanya hivyo kwa sababu ya posho unayopewa na chadema kuisemea vizuri mitandaoni ,Mh Nchemba amesema uandishi mbovu wa bajeti mbadala na uongozi wa chadema mumekili hilo huyu kijana anajifanya kupotosha ukweli msimuamini anaotumika kisiasa anayetaka kujua ukweli kujiridhisha afuatilie marudiio ya bunge la leo kipindi cha jioni tarehe 27 mtajua ukweli ,jamani tusitumike kusema uongo si vizuri ata kidogo uongo waweza haribu Amani,Umoja na Mshikamano wa watanzania!
 
Hilo chemba halifai nalishauri likajiunge na Hadija Kopa kwenye mipasho atuachie bunge letu
 
naibu spika kanifurahisha kwa kumpiga dongo Nchemba kwamba wabunge wa ccm wasijione kwamba kwakua wao ni chama tawala basi ndio wananguvu!.
ngoja niende kwenye tovuti ya bunge nione cv ya kilaza nchemba
 
Nafikiri utakuwa tumbo moja na chemba za jiji zinazonuka, CDM hawana bajeti mbadala na speaker alishatolea ufafanuzi siku kicheche Ngelega alipolipuka bila kufikiria kama kawaida. Hoja inayojadiliwa bungeni ni ile inayoletwa na serikali kupitia wizara mbalimbali, wapinzani wanaleta maoni yaani ni kama mchango ambao wangependa serikali ifanye basi. Sasa kama una akili huwezi kujadili maoni juu ya hoja badala ya kujadili hoja labda tu kama una AKILI ZA MWIGULI CHEMBA ZA JIJI ZIKIFUMUKA NI HARUFU NA KERO TAFAKARI KWA UMAKINI

Back
Top Bottom