Mwigulu analeta utani kwenye maisha ya KIWIA?

Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
16,923
13,003
Leo mjengoni wwakati mh kiwia wa ilelemela akieleza jinsi alivyotaka kuuwawa na kusema kuwa gari la maria hewa wa ccm lilikuwa eneo la tukio, akasimama nchemba kutoa taarifa kuwa eti hata pale nje bungeni eti gari lipo then ndugai anacheka tu. kiwia akasema kuna watu wanafurahia matatizo ya watu then akaendelea kuchangia. sasa hii mutu inasimama na kuchekacheka anamanisha nin? poor first class economist
 
Hawa jamaa ni wauawaji, CCM. So Mwigulu na hizo pumba zake haoni kama anatibua nyongo ya wana-CDM na watanzania kwa ujumla dhidi ya shambulio ambalo huenda lilikusudia kuto uhai wa wabunge wawili wa CDM.

Kabla hawajajibu hilo tayari wanashutuma nyingine nzito tu ya kuteka, kudhuru na (kusudio la kuua) Dr. Ulimboka.

CCM Wasifikiri kufika 2015 ni formality, ccm na Kikwete wanaweza wasifike kwa mwendo huu, na sijui huyu mzinzi ataficha wapi uso wake kama fuko!
 
Leo mjengoni wwakati mh kiwia wa ilelemela akieleza jinsi alivyotaka kuuwawa na kusema kuwa gari la maria hewa wa ccm lilikuwa eneo la tukio, akasimama nchemba kutoa taarifa kuwa eti hata pale nje bungeni eti gari lipo then ndugai anacheka tu. kiwia akasema kuna watu wanafurahia matatizo ya watu then akaendelea kuchangia. sasa hii mutu inasimama na kuchekacheka anamanisha nin? poor first class economist

watu wenye akili timamu wanaotokea tabora ni wa kuhesabu.
 
Ndugai ana matatizo ya kimsingi, hawezi kuwa balance kwa sababu ana uwezo mdogo wa kufikiri
 
Veve Nyanda, Shindo lyako.... hehehehee...!!!! Sasa hapa Mwigulu, Mbunge wa Singida anaingiaje kuwa wa Tabora?

Au kwa sababu alifanyia UGONI wake Tabora/Igunga?

Nakuona siku zote unatutafuta sana Wadakama. Haya wee endelea tu. Sijui tulikuchukulia Nani wako!!!

NOYAGA.
watu wenye akili timamu wanaotokea tabora ni wa kuhesabu.
 
Hilo siyo tatizo. Hata kama SISI wa Tabora wote tusiwe na akili timamu.

Tatizo hapa ni kuwa Mwigulu Nchemba ni mtu na Mbunge wa Singida kwa ticket ya Magamba ya Njano na Kijani.
Amesema ni wa kuhesabu ....labda na wewe kwenye hesabu umo mkuu so usipaniki!
 
Veve Nyanda, Shindo lyako.... hehehehee...!!!! Sasa hapa Mwigulu, Mbunge wa Singida anaingiaje kuwa wa Tabora?

Au kwa sababu alifanyia UGONI wake Tabora/Igunga?

Nakuona siku zote unatutafuta sana Wadakama. Haya wee endelea tu. Sijui tulikuchukulia Nani wako!!!

NOYAGA.

ulebhudogo shi?

wee hujui kama wanyamwezi ndo wanashiriki maandamano ya uamsho?
 
mh mwigulu "chemba" naye kwa vituko!! siku hizi amekuwa kama ze komedi wa bungeni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom