Mwezi mpevu wa Ramadan2024 utatafutwa leo! Endelea kuwa nasi kwa update

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,773
21,270
Leo wataalamu wa anga huko saudia wanasema kunatarajia mawingu mepesi kutanda leo Jumapili jioni, wakati wa kuonekana kwa mwezi mpevu wa Ramadhan huko Tumair ambayo inaweza kuleta vikwazo katika kuona mwezi mpevu.

20240310_133116.jpg


Hivyo wameandaa viona mbali a.k.a darubini ili kuutafuta popote ulipo.

Swali langu kutokana na mdau mmoja kwenye ukurasa wao kaoji swali kama nilivyowaza mimi hivi;

20240310_182625.jpg


"These Arabs use technologies to find the crescent moon, but Crescent moon should be watched by human eyes."

"So don't go for birth of the moon, go for moon sighting. As there is a clear difference between birth of moon and moon sighting..."

Nini maoni yako yenye umakini na unyenyekevu?.

UPDATE:
Tayari mwezi umeandama na kesho hao wanaanza kufunga siye huku leonaita vunja jungu mwenye kumalizana na dhambi leo ndo leo.

20240310_182611.jpg
 
Back
Top Bottom