Mwenzenu nahitaji mwenza

lutamyo

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
641
159
Naomba wana jf mnisaidie mm natafuta mwenza. Awe msafi, mwenye moyo wa utu wema, mkweli. Tafadhar niko serious upweke unaleta ugonjwa wa moyo
 
mkuu itabidi utoe cv yako kabla raia hawajaanza kukumwagia sela ukarusha matusi na mwisho wake unakula ban..
 
kila khel,
Ila kumbuka kuweka sifa uliizonazo wewe kama ulivoweka sifa za mwenza unae mtafuta bila kusahau jinsia
 
majina ya kihaya haya luta... somethingi jamani kwa mtazamo wangu huyu ni wa kiume anayebisha amchungulie ajue ni wa aina gani me huwa nanusa tu nishajua ni wa kiume msaidieni bado ana uoga hata wa kujielezea


Iwe Wagambire wana jf vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom