Mwenzenu nahitaji mwenza

Mimi ni Mjomba na sio Ke ila nashukuru kwa wewe kupita mahari hapa

majina ya kihaya haya luta... somethingi jamani kwa mtazamo wangu huyu ni wa kiume anayebisha amchungulie ajue ni wa aina gani me huwa nanusa tu nishajua ni wa kiume msaidieni bado ana uoga hata wa kujielezea

Iwe Wagambire wana jf vizuri

Nashukuru kwa kujaribu kuokoa jahazi ni kweli mimi ni mwanaume ila siyo umgambire; ni mwenyeji wa Dodoma hilo ni jina tu.

Nimefarijika kuwa wapendwa angalau mna upendo na mnajali hata masahibu ya wengine. Kuhusu mimi ni mtoto wa mkulima na aidha najishughurisha na Kilimo ingawa mara moja moja nakuwa Mchuuzi kama nimepata mazao mengi, pia nina kaduka kadogo Mpwapwa mjini.
Kielimu mimi ni Form Iv. Ni mutu ninayependa sana ukweli ingawa unauma ila ni dawa tosha, utu ndio mtu, upole na mwenye kujali wengine. Sipendi kabisa usanii wala unafiki.
Najua kwa kiasi nimewajibu.

Haya akinadada ofa hiyo toka Mpwapwa, application zikikuzidi mkuu niunganishie maana hapa Bongo/Dar kazi kwelikweli.

Nimefarijika kuwa wapendwa angalau mna upendo na mnajali hata masahibu ya wengine. Kuhusu mimi ni mtoto wa mkulima na aidha najishughurisha na Kilimo ingawa mara moja moja nakuwa Mchuuzi kama nimepata mazao mengi, pia nina kaduka kadogo Mpwapwa mjini.

Kielimu mimi ni Form Iv. Ni mutu ninayependa sana ukweli ingawa unauma ila ni dawa tosha, utu ndio mtu, upole na mwenye kujali wengine. Sipendi kabisa usanii wala unafiki.

Najua kwa kiasi nimewajibu.

una kaduka kadogo wapiiiiiii? Kesho mchana nakuja kukopa vitu hlf uchumba unafatia. Sawa eeh?

Mie niko ving'awe ngoja nikutafute

Duu hii kali yaani nimekusubiri sana mpaka nimechoka kweli nimeamini bahati sina yaani we mwana nimekusubiri sana sijakuona. umenirusha roho tu weye Hus

una kaduka kadogo wapiiiiiii? Kesho mchana nakuja kukopa vitu hlf uchumba unafatia. Sawa eeh?

Similar Discussions

Back
Top Bottom