Mwenyekiti wa vijana wa CHADEMA afanya mazungumzo na katibu mkuu wa CDU ya ujerumani

Wakiambiwa waende shule hawataki.........kazi yao ni ulalamika tu!!!
Eeeeh! Hivi kumbe panya ni LAT? Nilikuwa sijui wadau!

Hicho ni Kizungu au Kizunguzungu? Wasomi wetu bwana! Huyo naye ukimwuliza atakwambia yuko sijui University gani!!
 
Wakiambiwa waende shule hawataki.........kazi yao ni ulalamika tu!!!
Sijui umesoma wapi ulipoambiwa kizungu ni lugha! Halafu acha utumwa wa kiakili kiingereza ni Language kama Kichagga mtu akijua sio mpaka uwe msomi, kwa hiyo unataka kuniambia Uingereza nchi nzima mpaka watoto wote ni wasomi? Ahahahah!
 
All the best Bavicha,cha msingi mwenyekiti inabidi asaidiane na vijana wenzake.Vinginevyo mambo yatamuwia vigumu sana,kuna wengine walioshindwa na hata wale walioenguliwa na kuzua hisia za mizengwe.Naamini kabisa kuna wenye uwezo mkubwa wangemsaidia,kwa hiyo kila la heri
 
Wajerumani wakristo walipotawala nchi hii walijenga IKulu ambayo imewaweka maraisi waislamu na wakristo,Hospitali ya Ocean road wanatibika waislamu na wakristo,Reli ya kati waislamu na wakristo wanasafiria humo MV lihemba lake Tanganyika wanapanda waislamu na wakristo,Magereza mengi nchi hii inaweka wafungwa waislamu na wakristo,mashamba makubwa ya mikonge yameneemesha wakristo na waislamu,acheni ushabili wa kijinga hapa
 
Nashangaa sana. Hivi kwenye hii ziara si na vijana wa CCM wapo? Mkuu Igwa muulize Heche kama hakuna vijana wa CCM kwenye hii ziara kama sikosei mwaliko ulitolewa kwa vijana wa Chama tawala na wa Chama Kikuu cha Upinzani.
 
Chadema ina hazina kubwa sana ya vijana wenye uwezo.Wakiwekewa utaratibu mzuri chama kinaweza kufika mbali,muda umebaki mchache sana.Mwaka 2015 ulimwengu unaweza kushangaa.Bavicha kishaurini chama na mkishinikize kutumia uwezo wa hazina kubwa mliyo nayo,nawashauri muachane na siasa za ulaji ili kidogo mtofautiane na UVCCM.Vijana wa tanzania wanawategemea sana,kipindi cha uchaguzi nilifurahi sana nilipoona kila mmoja anajenga hoja nzito na zenye ushawishi hata kuliko sisi wabunge kwenye vyombo vya habari.It was so impressive na ilisaidia kweli kuonyesha jeuri ya hazina ya vijana wenye uwezo,wasomi na makini wenye kupanga maono ya baadae ya ukombozi wa taifa letu.Kuna kichwa kimoja inabidi mkitumie,shirikianeni la sivyo UVCCM wanajiandaa au wanaandaliwa kweli kweli kwa ajili ya uchaguzi ujao,ni kama jihad kwao.Huku bungeni bado tunahitaji vijana wengi wenye uwezo mkubwa,pia nitoe wito kwa wanajamii Forums wengi mjiandae kwenda majimboni.Asanteni
 
hakuna habari mpya huko zaidi ya ujenzi wa ukiristo, wewe unadhani chama cha kikiristo cha ujerumani cdu kitatoa mafunzo gani kwa cdm kama sio mambo ya kanisa

huja koma tu kuandika unafiki!
 
Hebu nikuulize kaka una Elimu kiasi gani? halafu Mtume alikuwa na elimu gani vile?
Hakuna habari mpya huko zaidi ya ujenzi wa Ukiristo, wewe unadhani chama cha Kikiristo cha Ujerumani CDU kitatoa mafunzo gani kwa CDM kama sio mambo ya Kanisa
 
Acha ushamba huo. Kuambiwa mwenyekiti kafanya mazungumzo na yamejikita katika kupeana uzoefu wa kutengeneza sera tayari hiyo ni habari, halafu habari zaidi zitafuata. Sasa wewe kimekuuma nini? Nyie Magamba mbona mna wivu sana, <span style="color:#ff0000;">na nyie mpelekeni Nape</span> <span style="color:#ff0000;">Afghanistani</span> akajifunze namna ya kulipua mabomu.
<br>una taka kujenga picha gani hapo? heche germany with CDU na Nape afghanistan with matyr. tumia akili
 
concept hapa ni associattion ya CDM na CDU, suala la association ni zuri sana kwa vyama ,ni ni utaratibu wa kawaida wa ki siasa.lakini wakati chama kina tafuta associate ni lazima kuwe kuna hali ya kushare values,attidude,kwa % kubwa.lakini association pia lazima iwe na positive impact kwa chama chenyewe kwa maana ya kuendelea kukua na kupata mvuto kwa watu,katika hili chadema hawakulifikiria vizuri,nitatoa sababu
TUmeshudia CDM ikibebeshwa zigo la udini ktk uchaguzi 2010,wa Tz Kwa kiasi kikubwa walimezwa na hii hoja ya association kati ya CDM na Catholicism na kuamini ingawa hakukua na madai yenye evidence based, unapo associate na CDU Unatoa mwanya kwa wapinzani wako wa kisiasa ku justify madai waliyo kua wakidai toka 2010.,tena katika very clear n cheap way.ktk hili chadema hawaku anticipate political atmosphere after association.
 
Acha ushamba huo. Kuambiwa mwenyekiti kafanya mazungumzo na yamejikita katika kupeana uzoefu wa kutengeneza sera tayari hiyo ni habari, halafu habari zaidi zitafuata. Sasa wewe kimekuuma nini? Nyie Magamba mbona mna wivu sana, &lt;span style="color:#ff0000;"&gt;na nyie mpelekeni Nape&lt;/span&gt; &lt;span style="color:#ff0000;"&gt;Afghanistani&lt;/span&gt; akajifunze namna ya kulipua mabomu.
&lt;br&gt;una taka kujenga picha gani hapo? heche germany with CDU na Nape afghanistan with matyr. tumia akili
 
Mkuu! Taratibu naona unatokwa na povu la mdomo bure! Ebu acha kupotosha mambo ya msingi Dunia yote inajua CDU ni kina nani.Christian Democrtatic Union, Ideology Christian Democracy Catholic social teaching, ndio CDM walichokwenda kujifunza huko Ujerumani, na CDU wanapenda kuwa na urafiki na Wakiristo wenzeo CDM
Inashangaza sana mtu mzima hajui maana ya neno ushirikiano. Kwa hili la chadema nadhani ma mental slaves(sokomoko and co) tayari walikuwa na preconceptions zao.
Wakati mwingine huwa nadhani udini ni part and parcel ya dini dini ya kiislam. Kwenye mahubiri yenu ya msikitini watu wanasikia jinsi mnavyouponda ukristo. Yaani kuwa na rais muislam basi na mashehe na wenyewe wanajiona ni watawala pia.
Kuna utabiri mmoja tu nadhani shehe Yahya(RIP) alitabiri ukweli. Alisema raisi wa awamu hii atakuwa mwanamke. Aliposhinda urais Kikwete watu wakahoji vipi ustaadhi? Yeye akasema hajakosea kwa sababu kikwete ana sura au haiba ya kike kama sijakosea. Bila kuwaudhi akina mama/dada, Kikwete kweli anafanya mambo yake kama mwanamke dhoofu kabisa. Akina sokomoko and co ndiyo uzao wa huo udhoofu pamoja na madudu mengine mengi.
Tukirudi kwenye mada...nadhani nyinyi ni watu ambao mmeshajiwekea misimamo kwamba chadema ni chama cha kikatoliki na ushirikiano wake na CDU ni katika kuendeleza ukristu...so its pointless to further argue with you!
Sasa imefika wakati inabidi mchukue hatua kama mnaweza badala ya kulalama tuu! nendeni huko kwenye madrassa zenu mkahamasishe na wenzenu. One thing...strategy ya kupinga ukristu kwa uchochezi,majambia nk kwenu itakuwa kama kuogelea kwenye maji marefu...hamtaweza! Kamuulizeni kikwete ambaye kila kukicha ni kukumbilia na ka kopo kake kwa hao mnaowaita makafiri kuombaomba!
ukiwa maskini wa fikra utakuwa mtumwa daima...mnachotakiwa ni kuanza kushughulikia ufukara wenu wa fikra ndiyo muingie kwenye ulingo wa mapambano.
[Umaskini wa fikra ni umaskini mbaya kuliko umaskini wowote] Baba wa taifa , JK .Nyerere
 
Back
Top Bottom