Mwenyekiti wa vijana wa CHADEMA afanya mazungumzo na katibu mkuu wa CDU ya ujerumani

USTAADHI

JF-Expert Member
May 10, 2011
1,516
136
wadau leo mwenyekiti wa baraza la vijana la chadema amefanya mazungumzo na katibu mkuu wa baraza la vijana la chama kinachoongoza ujerumani cha CDU, NIMETOKA KUZUNGUMZA NA BWANA HECHE kutoka BERLIN nchini ujerumani mda si mrefu, mazungumzo yalitaka zaidi mahusiano na kupeana uzoefu na mikakati ya kutengeza sera na kuziingiza kwenye ilani ya chama,habari zaidi kufuata
 
Next time subiri mpaka una taarifa ndio unaleta hapa sio kufanya kama sehemu ya walevi watu wanatumia pesa kuwa online habari nusu nusu sio dili muwe na huruma
 
Hakuna habari mpya huko zaidi ya ujenzi wa Ukiristo, wewe unadhani chama cha Kikiristo cha Ujerumani CDU kitatoa mafunzo gani kwa CDM kama sio mambo ya Kanisa
 
Hamna haja ya kuingiza udini......haipendezi broda,zaidi tuchangie topic....
 
wadau leo mwenyekiti wa baraza la vijana la chadema amefanya mazungumzo na katibu mkuu wa baraza la vijana la chama kinachoongoza ujerumani cha CDU, NIMETOKA KUZUNGUMZA NA BWANA HECHE kutoka BERLIN nchini ujerumani mda si mrefu, mazungumzo yalitaka zaidi mahusiano na kupeana uzoefu na mikakati ya kutengeza sera na kuziingiza kwenye ilani ya chama,habari zaidi kufuata
Amewapa taarifa kuwa ule muafaka umekataliwa na mwenyekiti wao?
 
mazungumzo yalitaka zaidi mahusiano na kupeana uzoefu na mikakati ya kutengeza sera na kuziingiza kwenye ilani ya chama,
Duu hii kare, yaani sera za kwenye ilani itakayotekelezwa Tanzania zinakwenda kutengenezwa ujerumani...
 
Amewapa taarifa kuwa ule muafaka umekataliwa na mwenyekiti wao?
Si nasikia Rais wa zamani wa Ujerumani ndio alikuwa mshenga wa ndoa ya CDM na CCM, ukikubali kuolewa basi usilale na jeans
 
Hakuna habari mpya huko zaidi ya ujenzi wa Ukiristo, wewe unadhani chama cha Kikiristo cha Ujerumani CDU kitatoa mafunzo gani kwa CDM kama sio mambo ya Kanisa

kwan ccm nao wanatoa mafunzo gani ya uislm? mawazo mafinyu hayo kama mlivyo na imani yako hiyo
 
Hakuna habari mpya huko zaidi ya ujenzi wa Ukiristo, wewe unadhani chama cha Kikiristo cha Ujerumani CDU kitatoa mafunzo gani kwa CDM kama sio mambo ya Kanisa
Always huwa hamna hoja, nyie mara nyingu hutumia manguvu yenu pasipo mbinu na mwisho wake huishia kuumia. Mkuu sio kila analolisema shehe wewe utekeleze, kumbuka shehe ni darasa la 7 kama wewe atakupoteza. CDM km chama cha siasa, zaidi cha upinzani lazima kije na strategies yakuweza kuwin politics na power za nchi.. CDM hawazuwiliwi kujihusisha na vyama vya mataifa mengine.. Km ambavyo CCM ilivyojaa waislam km wewe, CUF ilivyo na udini msitake ileta CDM huko.. CDU ni chama kilichoanzishwa under christian morals and values, ni chama kinachofata liberal democratic values. FOR YOUR ADVANTAGE: vyama vingi vya siasa vya Europe tofauti huwa ktk strategies na action (practice), theoriticaly they are same, wanashare the same philosophical foundation which is Christian philosophical values! Go on CDM.
 
hii jamii forum imevamiwa na makuku wengi wanaopenda issue za udini kama vile ritz,malaria sugu,faizy fox,mlengo wa kati tena hawa watu miongoni wao ni waislam wachache walioamishia siasa zao kutoka cuf na kuziamishia ccm sasa hii ni mbaya sana ndugu zangu hawa watu wanao tumia silaha ya udini kuweza kuficha maovu ni hatari sana mtu anafika atua mpaka anabandika picha ya mwl nyerere yuko na papa hii anataka kutuonyesha nini jamii ya watanzania huo udini mnaouleta nyie hasa hawa waislamu makuku mbeleni mtakuja juta embu fukilia wakristo nao wakishajua wanabaguliwa kwani wanajua wanabaguliwa but they don't care sasa na wenyewe wakiingia na wakajitambua hii nchi haitatawalika tutumie silaha nyingine lakini sio udini udini ni hatari sana sehemu zote duniani angalia maisha ya wainageria,sudan, udini umewafanya maisha yao kuwa tete sasa hawa mafala kuku wanaoshadidia udini wasubili waone.
 
Chadema inazidi kujidharaulisha, huyo heche (igwa), kama kiswahili tu huwa hawezi kutoa hoja za maana, je lugha watakayotumia ni lugha gani?
Jamani niambieni kwanza lugha watakayotumia mimi, nahisi kichefuchefu tu hapa.
Nadrudia tena, kiswahili tu igwa hawezi kutoa hoja wala kusimamia hoja, je hicho kidhungu je?
 
ID yako yenyewe ya kijinga

teh teeh teeh
 
Hakuna habari mpya huko zaidi ya ujenzi wa Ukiristo, wewe unadhani chama cha Kikiristo cha Ujerumani CDU kitatoa mafunzo gani kwa CDM kama sio mambo ya Kanisa
Pschological problem as well as stress!!pole sana mkuu!!
 
Hakuna habari mpya huko zaidi ya ujenzi wa Ukiristo, wewe unadhani chama cha Kikiristo cha Ujerumani CDU kitatoa mafunzo gani kwa CDM kama sio mambo ya Kanisa

labda watawaambia chadema waanze kuvaa vile vidude vya mbao shingoni na kuning'iniza na kamba, hiki kibao huwa kinakuwa na picha ya mtu flani flani hivi
 
Back
Top Bottom