Mwenyekiti wa vijana CCM kata Kisesa ahamia chadema.

Kamanda Godbless Lema akiwa kwenye mikutano na uzinduzi wa matawi, Ndipo mwenyekiti wa Vijana CCM kata ya Kisesa akafanya maamzi sahihi ya kuhamia chadema.
Chadema ni safina ya kwenda kwenye uzima. Karibu sana ujiunge na makamanda wa ukweli.
 
Hao wa ngazi za shina, vijiji na kata ndiyo wenye mitaji ya watu.

Hongera kwa makamanda walio mstari wa mbele.


Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki CHADEMA

Msako unaendelea
 
Kamanda Godbless Lema akiwa kwenye mikutano na uzinduzi wa matawi, Ndipo mwenyekiti wa Vijana CCM kata ya Kisesa akafanya maamzi sahihi ya kuhamia chadema.

Vip wale madiwani wa 4 wa sengerema pamoja na wenyeviti 21 aliokuwa Lema awapokee jana ilikuaje kamanda mbona kimya mno huku A. TOWN tunamfuatilia sana kamanda wetu.
 
na wana chama wengi wamerudisha kadi za magamba na kujiunga na CDM...
 
Hatua nzuri, hata wabunge wakitaka kuhamia waambie wakate shauri, hakuna watakachopoteza. Kuhamia CDM ni sawa na mbegu hai kuanguka katika udongo mzuri wenye mbolea na maji ya kutosha ambapo itaota na kuzaa matuda mengi yenye mbegu nyingi, lakini kubaki huko kwenye gamba mbegu itaozea ndani ya gamba na hatakuwa na faida yoyote.
 
Back
Top Bottom