Mwenyekiti wa vijana CCM kata Kisesa ahamia chadema.

Jamani CCM wakamatwa pabaya. Je watafanya kumwokoa pinda, kuzungumzia Millya au madiwani Mwanza au Longido au watafanya nini? wamezingizwa na wanshambuliwa kuanzia bungeni, mikoani kwenye kata na kwenye wilaya. Very soon CCM will be pronounced dead!!!!. What a pitiful!!!!
 
Du CCM wamebanwa kila sehemu bungeni kibano kwa wananchi nako Lema na Slaa wanachukua wanachama wao sijui watatokea wapi safari hii.
 
Back
Top Bottom