Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Khamis akamatwa na TAKUKURU. Ni kwa tuhuma za Rushwa

Nov 30, 2016
7
14
shaddy.jpg

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Sadifa Juma Khamis (MB) amekamatwa na Maafisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) nyumbani kwake eneo la Mnada wa Zamani, Dodoma akigawa rushwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa UVCCM Taifa toka mkoa wa Kagera kwa ajili ya mkutano mkuu unaotarajiwa kufanyika kesho.

Hivi sasa yupo Kituo Kikuu cha Polisi Dodoma...

UPDATES:

08:30pm - December 09, 2017

Taarifa ambazo zimethibitishwa na JamiiForums, zimebainisha kuwa Sadifa amekamatwa kweli na pesa hizo inadaiwa zilikuwa za mgombea mmojawapo anayeitwa “Thobias” ambaye anadaiwa alimpa Mwenyekiti huyo awape wajumbe.

11:00am - December 10, 2017

- Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma, Emma Kuhanga amethibitisha kukamatwa kwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Khamis kwa tuhuma za kugawa rushwa
 
shaddy.jpg

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Sadifa juma Khamis (MB) Akamatwa na Maafisa wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nyumbani kwake eneo la Mnada wa Zamani, Dodoma akituhumiwa kugawa rushwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa UVCCM unaotarajiwa kufanyika kesho. Hivi sasa yupo Kituo Kikuu cha Polisi Dodoma taarifa zaidi zitatujia...
Huyu atakuwa anaandaliwa ukuu wa mkoa.
 
shaddy.jpg

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Sadifa juma Khamis (MB) Akamatwa na Maafisa wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nyumbani kwake eneo la Mnada wa Zamani, Dodoma akituhumiwa kugawa rushwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa UVCCM unaotarajiwa kufanyika kesho. Hivi sasa yupo Kituo Kikuu cha Polisi Dodoma taarifa zaidi zitatujia...

raiis atapiga simu kuwa aachiwe, mzalendo huyo
 
shaddy.jpg

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Sadifa juma Khamis (MB) Akamatwa na Maafisa wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nyumbani kwake eneo la Mnada wa Zamani, Dodoma akituhumiwa kugawa rushwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa UVCCM unaotarajiwa kufanyika kesho. Hivi sasa yupo Kituo Kikuu cha Polisi Dodoma taarifa zaidi zitatujia...
Ni vigumu sana kuiyenganisha Ccm na mdudu rushwa
 
shaddy.jpg

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Sadifa juma Khamis (MB) Akamatwa na Maafisa wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nyumbani kwake eneo la Mnada wa Zamani, Dodoma akigawa rushwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa UVCCM Taifa toka mkoa wa kagera kwa ajili ya mkutano mkuu unaotarajiwa kufanyika kesho . Hivi sasa yupo Kituo Kikuu cha Polisi Dodoma taarifa zaidi zitatujia...
Mmeanza.
 
Hapa ndipo ninapowapendea hawa takukuru, sheria zinaesema mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wana makosa, lakini hapo anakamatwa mtoa rushwa mpokeaji anaachwa, wakienda mahakamani ushahidi unakosekana mtu anashinda kesi kizembe namna ile,

Ila hawa wakamataji wajiandae kustaafishwa kazi kununua watu ni alama ya uzalendo
 
Back
Top Bottom