Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 1,897
- 941
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Mohamed Ali Kawaida amesema tarehe 18 Julai, 2023 yataanza maandamano Mkoa wa Dar es Salaam ambayo yatafanyika nchi nzima (Wilaya & Mkoa) kuunga mkono uwekezaji wa bandari na DP World.
"Jumuiya ya Umoja wa Vijana tumeamua kufanya maandamano makubwa katika kila Wilaya na kila Mkoa kwaajili ya kuunga mkono uwekezaji wa bandari ambao unafanywa kwa manufaa ya Watanzania wote na kupinga jitihada za wanaokusudia kukwamisha mchakato kwasababu dhamira yao sio nzuri maana wengi wao wanakusudia kuvunja amani ya nchi yetu na wapo ambao wamenunuliwa" - Ndugu Mohamed Ali Kawaida, Mwenyekiti UVCCM Taifa
"Hii si mara ya kwanza kwa nchi yetu kuingia makubaliano na nchi zingine, tunayo makubaliano baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya watu wa Uganda ambayo yalifanyika mwaka 2017 kwaajili ya bomba la mafuta. Kwahiyo, huu ni muendelezo wa ushirikiano baina ya nchi yetu na nchi zingine" - Ndugu Mohamed Ali Kawaida, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa
"Maandamo haya tutaanzia katika Mkoa wa Dar es Salaam siku ya tarehe 18 Julai, 2023. Nawahamasisha Vijana wote wapenda maendeleo, wanaopenda kuona mafanikio ya Serikali yetu na vijana wote walio na dhamira ya dhati kwa nchi yetu, Tukutane Dar es Salaam" - Ndugu Mohamed Ali Kawaida, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa
"Tunamtaka msajili wa Vyama vya Siasa nchini kuchukua hatua za makusudi kama ambavyo Sheria ya Vyama vya Siasa inavyomuelekeza kuchukua hatua kwa Chama chochote cha Siasa kinachohamasisha siasa za kuigawa Tanzania au kwa Kiongozi yeyote wa kisiasa atakayetumia lugha ya dhihaka" - Ndugu Mohamed Ali Kawaida, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa