Mwenyekiti wa CCM Singida ajiunga na CHADEMA usiku huu

Magamba ndio hayooooo.chama kitabaki saaafi bila makundi. Pesa zilikuwa zinavuruga wakwende tu. Watabaki wenye imani na chama na sio mtu
 
Magamba ndio hayooooo.chama kitabaki saaafi bila makundi. Pesa zilikuwa zinavuruga wakwende tu. Watabaki wenye imani na chama na sio mtu
October ndio utajua kama pesa kimeivuruga ccm au watu wanataka mabadiliko ccm ndio kwaheri jiandaeni kuwa wapinzani
 
Labda nyie magamba mtwambie orodha yenu ndeeeefu ya mafisadi ni ipi, ili atakayetoka tujuwe keshapungua huko kaja Ukawa, vinginevyo mtulie mshuhudie titanic ikizama mnaiyona!
 
Wokovu unazidi kuwatembelea wat, msije mkashangaa kusia hata magufuli nae kapata wokovu
 
CRDB anaakil sana sasa kule singida jamaa ananguvu sana kwa mara ya kwanza singida itatoa wabunge weng nje ya ccm

Msindi ana nguvu? Mbona ameangushwa ubunge na Mmama Salome 2010, na Jana Tu amepigwa chini kwenye kura za maoni Mkalama!
 
Mwishoni ccm atabakia Jk na mwanae Rizone wanauza Unga.Pombe yeye anapima kimbunga kikizidi atakimbilia Tadea
 
Back
Top Bottom