Mwenyekiti wa CCM Morogoro ampiga askari Msamvu kisa kasimamishwa na traffic

ha ha ha ha,hao maaskari wakausome tena "waraka maalumu kwa askari wote" wa samson mwigamba,
 
Ni aibu kubwa kwa jeshi la polisi, pia mkome kwani hii ndo faida ya kunyenyekea na kusikiliza kundi la watu wachache wenye itikadi fulani kwa ajili ya tamaa vijipesa vichache na vyeo, kwa maslahi yao binafsi na kuwafanya wawatumie kadri wanavyotaka na bado watawashika hadi ******.
 
Source ITV

Hivi kumbe hata wenyeviti wa vyama nao wanatumia madaraka yao kuiwajibisha dora kama mwenyekiti wa ccm mkoa wa morogoro (Mr. Kingu) kumchapa askari wa usalama barabarani kisa kasimamishwa hii imekaaje jamani

Bado hawajapigwa vizuri, wacha wachapwe hadi wajue umuhimu wa kutowabeba magamba.
 
Kama hana kinga ya kushtakiwa basi apelekwe mahakmani kwa kosa la kumzuia askari kufanya kazi yake
 
Hapa nimecheka sana.
Baada ya kisa mkasa. Askari wamezowea
kutupiga bila ya kuchukuliwa hatua.
Nimefurahi kuwa kuna mtu anayethubutu
kuwapiga na wao bila ya kuchukuliwa hatua.
Hongera Mkuu wa CCM mkoa.

yaan we ache tu, malipo ni hapa hapa duniani. Pia umenifanya nikumbuke ya robert kisena wakati wa uchaguzi 2010.
 
Ni aibu kubwa kwa jeshi la polisi, pia mkome kwani hii ndo faida ya kunyenyekea na kusikiliza kundi la watu wachache wenye itikadi fulani kwa ajili ya tamaa vijipesa vichache na vyeo, kwa maslahi yao binafsi na kuwafanya wawatumie kadri wanavyotaka na bado watawashika hadi ******.
******.=Masaburi
 
Jeshi letu la polisi linakosa uadilifu siku hadi siku, angalia jinsi lilivyotengeneza kesi bandia dhidi ya muro badala ya kujiwajibisha...saaafi chairman,hawa traffic wamezidi ubabaishaji na kulazimisha rushwa na huu ni mradi mkubwa ndani ya hili jeshi...vile vile chairman ameonyesha njia kuwa inawezekana ccm ikajisafisha kwa njia hii,vijana na wanachama kuwatia mikwaju/kuwazomea viongozi uchwala (wezi) ndani ya chama..
 
Sheria za barabarani zipo wazi kwa watumiaji wote. Inajulikana wazi kwamba kama dereva au mtu yeyote yule akivunja sheria za barabarani anachukuliwa hatua za kisheria. Lakin cha kusikitisha huyu mwenyekiti wa CCM alikutwa ndan ya gar lenye makosa na polisi aliamuru gar ipelekwe kituon lakin cha ajab mwenyekit aligoma na kumpiga trafki,jaman huu ni USTAARABU?
 
si ustaarabu. ni ulevi wa madaraka.
 
ni ustaarab, tena akome hao maaskali huwa wanashabikia ccm sana,anamsumbua mweny dola tena chama tawala hana adabu huyo askali.
 
Back
Top Bottom