Tamko alitoa Martin Shigella ni moja ya kauli mfu watoazo wanasiasa wasiokuwa na upeo au waliopofushwa na propaganga.Eti------chadema ndo wamempiga risasi kijana Alli,Shigella atueleze,jana kulikuwa na majibishano ya risasi kati ya chadema na Police?mbona police wenyewe hawajasema ilo?uyu mwanasiasa kijana hana sifa ya kuwaongoza ninyi wana CCM other wise anawakilisha maoni potofu yenu
Mimi siku zote huwa namuona shigela ni mgonjwa. Sijui wengine mnamuonaje.
omg!!! Shigela,nape,lusinde.what a disastor!!nimemwona shighela akilaani chama cha demokrasia na maendeleo kuwa kinahusika na mauaji ya kijana mmoja muuza gazeti msanvu morogoro .kasema iweje, "chadema wavaae magwanda, skafu, halafu polisi aje apige kijana muuza magazeti?
Haiwezekani hao ni chadema,"je hukumu ya shighela ni ya kiungwana? Wakati serikali imesema inafanya uchunguzi ?
Hizi propagada za nini?kwanini asiwe na subira kama chadema walihusika, au polisi si itajulikana.kwanini awe mtu wa kudandia hoja ili kujijenga kisiasa?
Chamzo;channe ten tv saa moja na nusu
Kijana wapi bwana? hawa hawaoni aibu kuchakachua hata umri! CCM mtu miaka 50 huwa anaitwa kijana na wakati huo huo anagombea wazazi!!!! ukistaajabu ya Farao utaona ya Musa!
Nimemwona shighela akilaani chama cha demokrasia na maendeleo kuwa kinahusika na mauaji ya kijana mmoja muuza gazeti msanvu morogoro .kasema iweje, "CHADEMA wavaae magwanda, skafu, halafu polisi aje apige kijana muuza magazeti?
Haiwezekani hao ni chadema,"je hukumu ya shighela ni ya kiungwana? wakati serikali imesema inafanya uchunguzi ?
Hizi propagada za nini?kwanini asiwe na subira kama chadema walihusika, au polisi si itajulikana.Kwanini awe mtu wa kudandia hoja ili kujijenga kisiasa?
CHAMZO;CHANNE TEN TV SAA MOJA NA NUSU
shigela ana IQ ya nguruwe.
Hawa Jamaa wanazidi kupotea kama wameanza hadi kuhongana vitumbua na Buku 2 ni wazi hawa viongozi wanatumia ubongo wa makalio