Mwenyekiti shule binafsi: Ada elekezi kwa shule binafsi ni kiini macho

Huyo mwenyekiti kachanganyikiwa ana hamu ya kulala rumande. Private schools ni wezi hakuna cha maana wanachotoa kinachogharimu million 2 wanaibia wananchi tu.

Wafate ada za serikali hawataki wafunge shule tutawapeleka watoto wetu shule za kata maana walimu wameshakuwa wengi.
 
If it works don't fix it. Naona wimbi la Watanzania kuhamisha watoto private schools nchi jirani. Seek knowledge even as far as China says the holy book.

Kwa hili wimbi la kupasua majibu very soon wengi watakuwa wanaishi maisha halisi ya vipato vyao halali na watashindwa kumudu hizo ada za milion nne, just watch.
 
Kuna shule mfano mzuri ni Heritage sekondari school Kongowe KIBAHA ada ya form one na michango ni 4,650,000/= hii iko salama?
 
Hapa unatuambia 2.5M inatosha lakini kuna shule zinapiga mpaka 7M. Hii ni dalili kwamba ni kweli mnatakiwa kuwekwa "vidhibiti mwendo",tena mkizingua ni heri zifutwe kabisa manake ni moja ya vishawishi vya rushwa na ufisadi kwa watumishi wa umma.

Mtu analazimika kupokea rushwa ili akalipe ada kubwa kwenye shule binafsi.
 
Unapo linganisha bidhaa na elimu nashindwa kukuelewa hujui hawa tunawapa dhamana ya kulea watoto wetu ina maana wakija kugoma tunaharibu future za watoto wetu pia elimu kwa shule za serikali hairidhishi kuna shule hazina hata maabara walimu wachache.
Shule binafsi zina huduma nyingi nzuri tusitetee bila kufkuria kuwa 380,000
Itatekeleza yote mpaka mishahara

Nafkiri serikali wakae na hawa jamaa ili wafikie muafaka maa
Mkuu kwa mbali naunga hoja yako kwamba huduma zao ni nzur lakin sio kigezo za kuwabembeleza na kuwafanya miungu watu et kisa wao shule zao zina kidh viwango vya elim bora, kiukwel uozo hapo kat upo regadless ya kupanda kwa gharama za maisha na teaching material na vyovyote vile, lakin bado mm naamin kibur cha kupandisha ada bila kuzingatia itifak kipo tena kimekithil so km vp wajipange wao na serikal il mwisho wa siku asiumie mwny shule wala mzaz.full stop
 
Shule za Binafsi ni pigano la kisaikolojia na uboreshaji matabaka.Its a means to make easy money, Hata mishahara ya waalimu katika shule hizo si nzuri kama Ada ilipwayo.

Pia zimwi la TUITION liangaliwe yaani mwalimu anadiriki kutofundisha vizuri saa za kazi anazolipwa mshahara wa umma ili tu kucreate demand ya tuition after schule hours.

Zaidi pia elimu bure itafaa tu kama kusudio lake litaendana na ajira na training ya waalimu bora. Serikali ikiboresha mishahara ya waalimu wasomi watafundisha.
 
Hata laki na nusu ni kubwaa sana kwa day ilipaswa kuwa elfu thelatjini tu kwa day na laki moja tu kwa boarding. Wanyooke tu hakuna namna nyingineee!!
 
Na zingine pamoja na ku pandisha ada bado huduma zilikuwa mbovu kuliko kipimo cha kawaida yan mtoto unamlipia mamilion et kisa english speakin bado na miziro watoto kibao wanapata ss hapo useme kama mzaz ufanye ziara ya kushtukiza kwa kwenda kuchek bwen analokaa mtoto uwiii unaweza kuzimia, mm nina ushahid wa shule moja jina kapun hapa dar et na watoto wa vigogo wapo hapo;

yan hzo hostel n ushuz mtupu vumbi la kutisha taaluma mbovu mdogo wang aliambulia 0 pamoja na utitiri wa wanafunz wenzie tukajuta kwa nn tulimtoa alikokuwa, hawa wamiki thy need to b tought a big lesson walizid ebooo
 
Shule za Binafsi ni pigano la kisaikolojia na uboreshaji matabaka.Its a means to make easy money, Hata mishahara ya waalimu katika shule hizo si nzuri kama Ada ilipwayo.

Pia zimwi la TUITION liangaliwe yaani mwalimu anadiriki kutofundisha vizuri saa za kazi anazolipwa mshahara wa umma ili tu kucreate demand ya tuition after schule hours.
Zaidi pia elimu bure itafaa tu kama kusudio lake litaendana na ajira na training ya waalimu bora. Serikali ikiboresha mishahara ya waalimu wasomi watafundisha.

Na cha kushangaza zaidi walimu wa hizi shule wanafundisha tution....na watoto kubaguliwa wale wasioona umuhimu wa tution....
na wanyooshwe tu...hakuna namna
 
Ikitoka hapo bei elekezi kwenye Mahotel. Haiwezekani Mahotel mengine walalale wenyewe tu, Mbona mtaani kwetu lodge ni 15000 TZs tu!
 
Matabaka yanazid kukuzwa kwa makusud ktk hii nchi kwa njama za makusud na kulazimisha saikolojia za watu ziamin tu kuwa kutoa pesa nying ndo kupata elimu bora mbaya zaid ni pale unapolazikika kumlipia mtoto wa miaka5 1.5mill cha zaid anachojua ni kuimba wimbo wa taifa na kukariri alpabetic tu jamaniii, elim bora sote tunataman wanet wapate lakin sio kwa kukomeshan kwa makusud naman hiii, hii haikubalik na kwa sababu hatmaye.

Mungu ameikumbuka tz kupitia maguful acha wenye mashule binafs mnyooshwee tuu
 
Mfano kuna shule ndogo inaitwa "STABELA SCHOOL", ni shule ya msingi iko maeneo ya BUZA wilaya ya Temeke na ni shule ya DAY. ADA kwa muhula mmoja (miezi 3) ni TSH 460,000/=. Kwa mwaka ni TZS 1,380,000/= Kipindi cha likizo watoto wanaendelea kusoma kwa mzazi kulipia TZS 20,000/=kama tuition fee. Kila wanapofunga huenda fun city. Mzazi anatakiwa alipe TZS 30,000/=.

Uniform zao zinatoka South Africa. Gharama za Uniform Tzs 200,000/= Ukitafuta jumla ya pesa yote kwa mwaka ni karibia TZS 1,530,000/= - 1,730,000/=. Swali ni kuwa, je, ingekuwa shule ya Boarding ingekuwa bei gani??? Ukiwauliza wanakwambia mzazi inabidi alipie gharama ya walimu wa nje ya nchi (exparts) kutoka Kenya, Nigeria na Uganda.

Hivi Tanzania hatuna walimu wazuri??? Kwani tunafundisha watoto ili wakafanye kazi Nigeria au South Africa? No! no! no! no!. Leo Raisi wetu dk. Magufuli mbona anawapelekesha Maprofesa waliosoma nje ya nchi na yeye KASOMEA ELIMU ZOTE HAPA HAPA NCHINI???? lazima kuwe na regulatory body itakayosimamia gharama za uendeshaji wa Elimu.

Tunatiana umaskini usio wa lazima.
 
Unapo linganisha bidhaa na elimu nashindwa kukuelewa hujui hawa tunawapa dhamana ya kulea watoto wetu ina maana wakija kugoma tunaharibu future za watoto wetu pia elimu kwa shule za serikali hairidhishi kuna shule hazina hata maabara walimu wachache.
Shule binafsi zina huduma nyingi nzuri tusitetee bila kufkuria kuwa 380,000
Itatekeleza yote mpaka mishahara

Nafkiri serikali wakae na hawa jamaa ili wafikie muafaka maa

Utoaji wa elimu ni huduma. Walishaambiwa wanapopandisha ada wawe nakibali cha kamishina wa elimu, lakini hawafanyi hivyo! na ada zao hazilingani kila mwenye shule akijisikia anapandisha ada! lazima mpewe ada elekezi mlizidi mno!
 
Unapo linganisha bidhaa na elimu nashindwa kukuelewa hujui hawa tunawapa dhamana ya kulea watoto wetu ina maana wakija kugoma tunaharibu future za watoto wetu pia elimu kwa shule za serikali hairidhishi kuna shule hazina hata maabara walimu wachache.
Shule binafsi zina huduma nyingi nzuri tusitetee bila kufkuria kuwa 380,000
Itatekeleza yote mpaka mishahara

Nafkiri serikali wakae na hawa jamaa ili wafikie muafaka maa

angalau 2500000 kwa mwaka ni 208333 kwa mwezi mtu awe na watoto 4 kima cha chini cha mshahara duuu. Au hizi shule binafusi ni kwa ajili ya majizi?
 
Chanzo cha shule za Government kufa ni huu utitili wa shule binafsi, hakuna namna maana kama serikarini hakuna ada nyinyi wa private mkipewa hiyo 380,000/ bado mnalalamika

Mimi sioni ualisia hapo kwenye kauli yako!!! Nimefundisha 5yrs, usisingizie kifo cha gvmt school ni kuanzishwa kwa Private, Gvmt mkondo mmoja wanafunzi 100, suppose unafundisha Maths, hivi hapo utasema private ndio inauwa hizo kayumba.....

Prvt! Kuna kuwa na limited no of students on each stream/mkondo! Mkuu wa shule anaakikisha kila mwl. Anafanya kile alichelipwa, ambapo Serikali ilo swala halipo unafundisha unavyo taka, ukaguzi wenyewe ni wa manati, mfumo ndio unauwa shule za kayumba, ndio maana hata special school nazo kwishinei....
 
Back
Top Bottom