Mwenyekiti Mpya wa board Tanesco

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,855
8,253
Wandugu nimeshtushwa na kuhudhunishwa na uteuzi wa Jenerali Mboma kuwa Mwenyekiti wa board Tanesco,pamoja na hizo Meremeta,n.k baado mkuu anamteu hivi kweli hakuna watu wengine ambao kweli wana vision ya kulikwamua hili shirika?kwani wakati wote ni walewale (recycle),je huyu mzee kweli atakuwa na jipya gani,ingawa yeye si mtendaji lakini bado ana nguvu na ushawishi katika shirika ,hebu turudi nyuma je tumesahu ya Mwenyekiti wa Mamlaka ya hifadhi Ngorongoro Mzee Msekwa (ni mzee kweli)mambo aliyoyafanya?.Huyu Mboma ana machimbo yake ya mkaa wa mawe pale Chunya ,hala hala asije akalazimisha kuwauzia Tanesco huo mkaa wa mawe kwa manufaa binafsi,je kweli nchi hii hakuna vijana wa dotcom ambao wanaenda na dunia ilivyo hivi sasa,badala ya kutuletea wazee ambao wamestaafu na hawana cha kukosa katika maisha yao?hakika sasa Tanesco badalya ya kutolewa ICU sasa ndio mwanzo inazidi kupewa nusu kaputi ipasuliwe kiulaini
 
Back
Top Bottom