- Thread starter
- #21
Huko kwenu kumewashinda tena wanaiba matrilioni unakuja kukomaa na vibaka ambao watafukuzwa mara moja
Mbona huyu mlishindwa kumfukuza siku zote hadi leo alipoanza kuwatia hasara vijana wenzie, unadhani kesho akiwa kiongozi wa Taifa, atasababisha hasara kiasi gani kwa Taifa, kwa tamaa za vitu vidogo na bado Mbunge wa Iringa Mjini anaenda kumtoa na kumkingia kifua yaani ameamua kubariki vitendo vichafu vya Kiongozi wake wa BAVICHA