Mwenye uelewa na chuo cha Archbishop Mihayo Tabora

kato Kazi

Member
Sep 21, 2016
38
21
Sikupata first selection ya chuo mwaka huu tuliombiwa tuombe second round chuo pekee kilichokuwa na faculty yangu ndo hicho please nipeni mwanga kidogo wa pale maisha ya tabora na product ya pale inauza mfano ualimu????
 
kama ukichaguliwa pale jiandae kupiga msuli maana pale sio mchezo alaf pana fakati kibao, hata master wanasoma hapo
 
Sikupata first selection ya chuo mwaka huu tuliombiwa tuombe second round chuo pekee kilichokuwa na faculty yangu ndo hicho please nipeni mwanga kidogo wa pale maisha ya tabora na product ya pale inauza mfano ualimu????
wana module nyingi na visheria vingi kweli ,labda kama wamepunguza saiz,kama ni ke hosteli zipo japo hautalazimishwa kukaka hostel ila kwa me ni mwendo wa kupanga nje ya chuo kwan hakuna hostel kwa wanaume, ila jiandae kwa msuli siochezo
 
Nunua baiskeli kwa ajili ya usafiri, chuoni pale kuna parking ya baiskeli maana tabora hamna usafr tofaut na huo
 
Dah kweli jamaa, ck moja nilienda mahakama ya rufaa pale wakat natoka nikasema nipite chuoni kutumia geti la upande wa hostel nikatokee geti la mbele. Nilipoingia chuoni nilikuta parking ya baiskeli, kuna baiskeli Kama 500 hv. Kimasomo wana units nyingi, mafaza wale wanasimamia Sana nidhamu. Nyumba za kupanga tabora bei ndogo ni Kama elfu 15 mpka 30 hiyo 30 ni master.
 
Elimu mbovu sana ya pale inatoa graduates ambao hawana confidence yanni hawajielewi na hawajitambui
 
Back
Top Bottom