Mwenye taarifa/habari za waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano mwaka 2014.

MR.NOMA

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
338
502
Nimepata taarifa zisizo rasmi kutoka kwa mdogo wangu aliyemaliza kidato cha nne na kutusua vizuri tu katika mtihani wake, kuwa tayari majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2014 yameshatoka,yeye amesikia watu wakiwa wanazungumzia, sasa ameniomba nimtaftie na ajue ni shule gani kapangiwa.tafadhali naomba mwenye taarifa sahihi atujuze wana jukwaa.
 
nmeskia selection watatangaza after form six kumaliza pepa kwan lini wanamaliza wote?
 
Back
Top Bottom