Mwenye simu yoyote ya kizamani aniuzie

wamadish

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
438
87
Nahitaji kuwa na ukumbusho wakuu mwenye phillps,simens dole gumba, au yeyote ya kizamani karibu pm!
 
lyinga;Duuu wazungu weusi kumbe tunao Kwa nini mkuu? nataka baki nayo kama kumbukumbu!
 
mkuu ingia ebay ya UK utazikuta kibao na kuagiza ni bei chee tu.
Mi mwenyewe nna ule mche wa sabuni wa nokia nakumbukia enzi zile naanza kumiliki mawasiliano
safi sanaaaaa
 
miss chagga;mimi ninayo mkonge laki mbili

miss chagga unatoa na risiti?
 
hekima tele asante kwa ushaur mkuu unaweza kunipa kautaratibu japo kidogo jinsi ya kuorder hadi kunifikia? thnks
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom