Mwenye namba ya simu ya mkononi ya receptionist PSRS

May 28, 2023
55
63
Habarini wadau naomba kwa mwenye namba ya mpokezi pale sekretarieti ya ajira anisaidie
Juzi nilikuwa pale nilisahau kuchukua, lengo nataka niwe namwuliza maswala yangu ya ajira.

Niliitwa katika taasisi hiyo nipeleke changamoto na malalamiko nilijibiwa vizuri ila tu nilichoona haswa nilipaswa kujibiwa kupitia simu tofauti na kwenda pale ndiyo maana naomba niweze kuuliza vyema suala langu ninapohitaji kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom