Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,470
kwani Bakharesa hajasoma? Kama kusoma sio issue watoto wake asingewasomesha! Let it be you!
Akili zile zile za ajabu ajabu!
Sikusema Bakhresa hakusoma, lkn wote twajua ana elimu kwani tunaona OUTPUT. Nilichokuwa naki-point ni kwa nini Business Masters wa vyeti hawana mafanikio kama yake?
Au kwa lugha nyingine, kama unahitaji kuwa graduate kufanikiwa je unahitaji kuwa nani ili uwe kama Bakhresa?
By the way, siamini km Bakhresa kwa akili ile nayoijua mimi anayo eti ataishia kuwasomesha watoto wake, naamini atawapa na elimu pia. Akiishia kuwasomesha tu watakuwa kama most of you, failures! Kugongana na mavyeti yenu kwenye milango ya waajiri bila kujiuliza anayewaajiri ana vyeti gani.
Usishindwe kunielewa ukaacha kusoma bure. Nahitaji usome, na ikiwa utasoma na ukabahatika kuelimika, nitakuhitaji hapo baadaye.