Mwenye kujua haya maujanja Please teach us!...

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,772
6,557
554237_545219998838318_1872084639_n.jpg

nimeikuta maeneo...
 
kwa kuangalia kwa makini nmeona kama hiyo background ni picha ya chumba tu kama zilivyo picha zingine japokua hiyo ni graphically designed, na hizo icons kwenye shelves na ubaoni ni kuzi lengesha tu. sizani kama kuna utaalam zaidi hapo hebu tungoje wazee graphics waje.
 
hiyo ni background tu hamna cha zaida. aliyeitengeneza ni mbunifu sana inavutia.
kwenye ile picha kuna board ambayo ameweka saa, sticky note af chin ya meza kuna recycle bin na juu yake ni computer icon. anajaribu kuonesha jins unavyoweza kutumia computer ukiwa ofisini.
 
hiyo ni customized desktop ambayo inaweza fanywa na apps mbalimbali zinazofanya kazi hiyo.... desktop customizers, ngoja nta post desktop yangu muone pia nimecustomize lakini sio kwa mtindo huu alioonesha ndetichia
 
Last edited by a moderator:
kwa kuangalia kwa makini nmeona kama hiyo background ni picha ya chumba tu kama zilivyo picha zingine japokua hiyo ni graphically designed, na hizo icons kwenye shelves na ubaoni ni kuzi lengesha tu. sizani kama kuna utaalam zaidi hapo hebu tungoje wazee graphics waje.

hiyo ni picha kweli embu fikiria zaidi mkuu..
 
hiyo ni customized desktop ambayo inaweza fanywa na apps mbalimbali zinazofanya kazi hiyo.... desktop customizers, ngoja nta post desktop yangu muone pia nimecustomize lakini sio kwa mtindo huu alioonesha ndetichia

hili naweza amini je hiyo dizaini inaonekana advanced sana nini maana imenivutia balaa..
 
dah is it just a picture? Kwa kuziangalia kwa umakini hizo icon hazijakaa mstari ulionyooka zimekaa diagonal kidogo. Zinaonekana very customized. Sio rahisi uwe na background tu then uzipange hivo. Kutakua na kitu cha ziada
 
hizo zimekaa kwa kuangalia mbele kama icon zingine kawaida, ila hiyo app imezi arrange zipishane distance kidogo kwa kwenda juu so zinaonekana kama zimebend kidogo, ukitaka kuamini angalia kwenye ubao kalenda na iyo sticky notes hazijabend kama ubao ulivyobend
 
hili naweza amini je hiyo dizaini inaonekana advanced sana nini maana imenivutia balaa..

ukienda deviantart.com kuna wataalam wa kucustomize hizi vitu kwa kutumia app tofauti tofauti, ukiona hutaamini,
 
always naamini design ni kipaji na si uwezo unaweza develop software kubwa na mwisho ukapata hasara then mtu anatengeneza kitu kama hicho then anakula bonge la faida.

Nipo deviantart hapa c6 ngoja na mi nijionee ya walimwengu
 
dah is it just a picture? Kwa kuziangalia kwa umakini hizo icon hazijakaa mstari ulionyooka zimekaa diagonal kidogo. Zinaonekana very customized. Sio rahisi uwe na background tu then uzipange hivo. Kutakua na kitu cha ziada

hyo ni background tuu. hzo icon kuonekana diagonal ni just drug n drop of icons kama ume uncheck Auto Arrange in desktop right click menu.
 
Hiyo ni Desktop Background hapo unaArrange hizo icons freely kwenye hizo shelf! right click desktop, view, toa/unmark 'auto arrange icons' na 'align icons to grid' ili uzipange mwenyewe baada ya kuweka Background kama hii,,

1290627913723.jpg

desktopoffice1920x1200.jpg
 
hyo ni background tuu. hzo icon kuonekana diagonal ni just drug n drop of icons kama ume uncheck Auto Arrange in desktop right click menu.

Hebu drag and drop zako tuone maana hio diagonal different ni ndogo sanaaaa hebu tengeneza nione ndo ntaamini
 
2lxnhz.jpg

kesho niktoka pindi chuo nitafanya marekebisho zaidi, nafikiri naweza hata kuzidi ya huyo dogo. ila nimependa concept
 
Hiyo ni Desktop Background hapo unaArrange hizo icons freely kwenye hizo shelf! right click desktop, view, toa/unmark 'auto arrange icons' na 'align icons to grid' ili uzipange mwenyewe baada ya kuweka Background kama hii,,

1290627913723.jpg

thanks nkuu hii itanisadia kwa kuanzia
 
Back
Top Bottom