Mwenye hii Avatar - Ufafanuzi tafadhali!

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,514
11,277
Wakuu nimeona avatar ya mdau humu ndani inasema hivi:

"He walked on water; he turned water to wine; Healed the sick, Raised the dead and now he wants to be your candidate for president."

Sasa tatizo linakuja kuwa huyu Bwana anamzungumzia nani au ana maana gani hasa kwa maelezo haya?

Nawasilisha.
 
Kamanda, je ulimaanisha sahihi (signature) katika mabandiko yake au avatar (picha) kweli?!
 
Wakuu nimeona avatar ya mdau humu ndani inasema hivi:

"He walked on water; he turned water to wine; Healed the sick, Raised the dead and now he wants to be your candidate for president."

Sasa tatizo linakuja kuwa huyu Bwana anamzungumzia nani au ana maana gani hasa kwa maelezo haya?

Nawasilisha.

Mkuu unatatizwa na nini haswa katika hiyo signature.
lakini huyo unaye mdhani hajawahi kufufua wafu wala kugeuza maji kuwa divai wala kutembea majini na kuponya wagonjwa.
mkuu usijali huyo ni Yesu anataka kuwa raisi wa maisha yako
 
ha ha ha aaaa (YESU NI KING BANA)
unajua huu wakati wa uchaguzi watu wana wasiwasi sana na wagombea ........pole sana ndugu mgombea huyu si vuvuzela huyu ni mgombea ambaye yupo jimboni siku zote....YESU MNAZARETH, SIMBA WA KABILA LA YUDA, BWANA WA MABWANA.....CONSUMING FIRE!!!!
mix with yours
 
Wakuu nimeona avatar ya mdau humu ndani inasema hivi:

"He walked on water; he turned water to wine; Healed the sick, Raised the dead and now he wants to be your candidate for president."

Sasa tatizo linakuja kuwa huyu Bwana anamzungumzia nani au ana maana gani hasa kwa maelezo haya?

Nawasilisha.

Just say Haleluyaaa Amen!!!!.
 
Nashauri um-PM akupe maelezo. We cannot read his/her mind!!!!!
 
Back
Top Bottom