Mwenye Habari za OSHO Yoga/Meditation-Pune, India Tafadhali!!

Sijawahi kufika ila nimesikia nyeti kidogo za huko kwa jamaa yangu mmoja mzungu alienda huko. Ali-plan akae 1 week lakini alirudi baada ya 6 months. Kuna mengi ya ajabu yanayoendelea hapo kwenye hekalu lao. Ndio maana kabla hujaenda ama hata ukifika tu hapo unafanyiwa HIV test. Alinieleza kuna watu toka Europe, US, China, Australia, UAE na kila kona ya dunia ambao wamelowea huko na hawataki kurudi. Ni ngono ya ajabu wakati wa deep meditation ndio inayoharibu watu akili hapo OSHO nasikia mizuka ikipanda tu basi ni patashika watu hupagawa na huendelea na ngono usiku mzima huku ukichagua/ukichaguliwa za kila aina hapo hekaluni.

kazi ipo.......sasa mbona magonjwa ya zinaa yapo mengi tu.....kwa nini wanapia HIV peke yake?......hebu jaribu kumchunguza huyo rafiki yako vizuri.......tunaweza kujifunza kitu hapa
 
Hata mimi kwa hayo aliyonieleza huyu jamaa yangu mmmhhnn!! siwezi kuanika kila kitu hapa but it's soooo tempting!! No wonder mkuu Vuvuzela ameishupalia hiyo safari ya kwenda huko.
 
Hata mimi kwa hayo aliyonieleza huyu jamaa yangu mmmhhnn!! siwezi kuanika kila kitu hapa but it's soooo tempting!! No wonder mkuu Vuvuzela ameishupalia hiyo safari ya kwenda huko.

sasa na wewe unaanza kutubania......tueleze bana.......wengine tunaweza kwenda kujifunza machejo ya ziada......hicho kinachowafanya watu wasirudi ndio ninachokitaka
 
nasikia kuna mambo ya kishirikina hatari na unaweza potelea huko, na lolote linalokukuta hutakiwi kusimulia mtu mpaka aende aone mwenyewe

labda niulize.......yanayokupata ni matamu au machungu......nijue kwanza hilo
 
Mkuu naomba nikufahamishe kuwa Yoga ni mazoezi laini ya viungo yenye kuambatana na imani kama ilivyo kwa dini nyingine! Mi binafsi najua badhi ya series za mazoezi kwan huwezifanya zote kwa maana hua kuna maelezo kama vile faida na hasara na limits based on health status! Mf Tandrasana kama unamatitizo ya uti wa mgongo hurusiwi kufanya! Lakin OSHO ndo chimbuko kama ilivyo Ephiopia kwa mastafari! Kuhusu meditetion ni utaratibu unaotumika mashariki ya kati yaana siku za weekend baada ya kuchoka pamoja na msongo wa mawazo wenzetu huwa wanatafuta sehemu tulivu anakaa bila kuruhusu mawazo kumtawala kichwani wakati huo anangalia sehemu moja tu kwa muda itategemea kama ni mzoefu basi hufanya kwa zaidi ya masaa 10 then anakuwa anajiwa na nguvu za ajab! Mwanzo ataanza kusikia sauti zikiita na hatimaye anakuwa na magic power! Initially huwa wanafanya hivyo kwa lengo la kutoa uchovu pamoja na stress! Kuna kipindi kama sikosea Capital tv on sanday by 1700-18:30 so unawe angalia japo sina uhakina na huo muda! Karib sana na kama vipi ntafute nikupe copy za Yoga!
 
<br />
<br />
Wapo wahindi weusi na wafilipino ndio wanauza mbun...
Hilo sio kweli. Jamaa amenieleza kuwa kuna watu toka kila kona ya dunia hii. Hakuna machangu doa wala sex workers hapo Osho. Wala kuuza hiyo kitu hairuhusiwi na wanaokwenda huko are people from all walks of life i.e. the rich, the middle class, tourists, doctors, engineers, lawyers, bankers, etc. etc.
 
Kwa kweli hao wahindi wakija fungua hapa tanzania hizo ibada
si mchezo..
Watu watafurika lol
 
Kuna wakati nilisikia eti hapa Tz kuna dini wanasali uchi na wanapeana mambo wakati wa ibada. Nimejaribu sana kujua ni wapi ili nijiunge sijafanikiwa. Kuna anayejua ni wapi?
 
Back
Top Bottom