VUVUZELA
JF-Expert Member
- Jun 19, 2010
- 3,103
- 785
Natumaini wana JF wote muwazima. Mojawapo ya mambo yanayonivutia katika maisha ni kusafiri nchi, ama sehemu mbalimbali na kuiona dunia na kujifunza mengi. Vilevile napendelea sana mambo ya Yoga/Meditation. Kwa miaka kadhaa nimesikia habari za hili hekalu la OSHO kuleee kwenye mji wa Pune, India. Miaka miwili iliyopita nilidokezwa kidogo kuhusu haya mambo ya Yoga na meditation isiyokuwa na kifani ambayo haipatikani wala kutolewa sehemu nyingine yoyote duniani zaidi ya hapo kwenye hekalu kuu la OSHO, mjini Pune, India.
Nimefuatilia kwenye internet lakini information iliyopo is so vague....... yaani ya juu juu tu.
Nimejaribu kuulizia waliopata kufika huko kwenye mji wa Pune, India na kuhudhuria Yoga na Meditation ya OSHO lakini kila mtu hataki kunieleza ukweli ila wamenidokeza nikienda huko kuna uwezekano nikanogewa na kutorudi kwetu kwani maelfu ya watu wanaokwenda huko wengi wao hunogewa na hulowea huko na kusahau makwao. Wamekataa kabisa kutoa siri za huko ingawa wamekiri kuna mambo ya ajabu na mazuri sana lakini ni siri kubwa.
Sasa jamani kabla sijaenda huko naomba mwenye kujua habari za OSHO, Pune, India tafadhali anijuze, kwani najua JF ni kisima cha knowledge na hekima. Nawasilisha
Have a nice weekend!!